Kwanini Wanawake wanalia kilio aina Moja juu ya Mahusiano na Ndoa zao? - EDUSPORTSTZ

Latest

Kwanini Wanawake wanalia kilio aina Moja juu ya Mahusiano na Ndoa zao?


👉 KWA SABABU WANAWAKE HAWAJAJUA ILI MWANAUME ATULIE KI AKILI LAZIMA ATIMIZE MAHITAJI KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE💯

Mwanaume anapoacha kuhangaikia maisha hakikisha ameweza kuweka mipango yake vizuri kwamba AMEWEZA KUJUA KIPATO CHAKE KINATOKANA NA JUHUDI NA MAARIFA YAKE ila sio kama ambavyo wanawake mnajitutumua😂
Mwanaume kitu pekee anatakiwa kupewa na Mwanamke ni UTII
Maana hilo ni jukumu lako Mwanamke, kwa ziada mpatie PENZI TAMU😂
Kwani ndani yake nawe utasikia raha kama atajua kumchezea kiti MAHABA wako au nakosea jilani🤷🏻‍♂
Mwanamke mpe Mwanaume kitu ambacho ni cha kwako mwenyewe ila sio kitu ambacho hata wewe mwenyewe unajua kinaweza kwisha ama kutoweka siku moja akiomba ukakosa na umemzoesha ndipo MWISHO WAKO UTAHESABIKA🤦🏻‍♂
Kosa kubwa wanawake mnalo ni kujaribu KUMFURAHISHA MWANAUME DUNIANI wallah hakuna Mwanamke aliyefauru hilo ndo maana mnajikuta kilio chenu ki moja💯
Mwanaume anapewa UTII TU mengine mwache ahangaike mwenyewe, Vile msivyo welevu mnajivunia mambo ya kupita, hujiulizi kwamba:-
👉 UTAKACHODHANI KINAMTULIZA MWANAUME NA MWANAMKE MWENZIO ANACHO AMA ANAWEZA KUKITOA?
Kwa Mwanaume huna jipya kwani nature yake ni starehe ya mwili wakati huo huo ni zoezi la mpito kwake😂
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria ðŸ”¨

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz