Kilio kikubwa WANAWAKE wanalia juu ya WANAUME ni hichi....! - EDUSPORTSTZ

Latest

Kilio kikubwa WANAWAKE wanalia juu ya WANAUME ni hichi....!


Our meeting is the best of things that happen to me ..
Kilio kikubwa WANAWAKE wanalia juu ya WANAUME ni MUDA! Sina maana ya masaa bali namaanisha MWANAUME KUTUMIA MUDA WAKE MWINGI KWA MWANAMKE WAKE... Unaweza kumpa kila kitu mwanamke lakini ukikosa muda wa kuwa nae UMEVURUGA YOTE ULIYOMPA maana Swala Sio kutimiza mahitaji tu Kwani UWEPO wako kwake ni zaidi ya njaa pamoja na ukosefu wa mafuta ya kupaka, wanaume wengi hata kwenye NDOA zao wamekosa muda wa kukaa na mwenza wake kiasi kwamba wamewajaza masononeko wake zao, Walivyoumbwa wanawake peke yao hawawezi kutimiza furaha zao lakini awapo na mwanaume hujawa furaha ikiwa tu MWANAUME HUYO ATAJUWA NAMNA YA KUZIMILIKI HISIA ZAKE! Hakuna mwanamke anakimbia DHIKI ikiwa mwanaume wake anampatia KITI wake, Lakini ukitaka kujuwa mwanamke sio mtu basi we jinunulishe mavitu yako halafu Ukiwa faragha ukawe KUKU mbona hayo mavitu yako hayatakuwa na thamani, Ndo maana mnawaita MALAYA mara oooh wanawake walikuwa wa zamani siku hizi hakuna wanawake, uliwahi kupata wasaa kuzungumza na mshua vile alikabiliana na bi'mdashi? Weeee usipime😅😅😅
Zamani wazee wetu waliweza KUOA wanawake 4 lakini kila mmoja alipata haki yake ya ndoa na wanawake hao walitulia maana mshua alijuwa majukumu yake, Leo unakuta mwanaume anae mke hamtimiziii na Bado anatafuta mchepuko ukimuuliza mchepuko nae hapati ile kitu roho inapenda ukitazama hilo utagunduwa wanaume wengi wameshindwa kujuwa wajibu wao kwa wanawake, Mwanamke ANAHITAJI MUDA WAKO maana kwa kumpa muda ni dhahili itakuwa rahisi kwenu kufanya maandalizi yatakayo chochea KITI WA MWANAMKE KUPANDA lakini kama ndo unakuja na haraka zako MY FRIEND HAPO BWANA HUTAMUELEWA MWANAMKE.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz