JE MWANAMKE ANAWEZA KUPENDA WANAUME WAWILI KWA WAKATI MMOJA? - EDUSPORTSTZ

Latest

JE MWANAMKE ANAWEZA KUPENDA WANAUME WAWILI KWA WAKATI MMOJA?

KWANINI UCHUMBA NI DARAJA LA NDOA? - EDUSPORTSTZ

Jibu ni rahisi sana HAPANA...
Kwanini asiweze wakati wote yupo nao?
Mwanamke kwa maumbile ya ki akili na ki moyo MWANAMKE ANALO PENDO KWA MTU MMOJA TU🙋🏻‍♂
Kwanini nasema Mwanamke hawezi kupenda wawili ila mmoja?
Mwanamke yupo kwenye NDOA lakini inamsumbua na katika kujitetea nafsi yake anajikuta anaanzisha mahusiano na Mwanaume mwingine JE YUPI HAPO ANAYEMPENDA🤣🤣
Nacheka kama mazuri ila naomba nikwambie wazi na unielewe vizuri "MWANAMKE HAPENDI WANAUME WAWILI BANAAA💃
Hapo anayependwa ni mmoja tu "ANAYEMSUMBUWA"
Kwani huyo ambaye amepatikana kwa njia ya migogoro anakuwa na cheo kinaitwa "COMFORTER"
Kwanza kabisa naomba niwakumbushe Wanawake wote "KILA MWANAUME NI COMFORTER MAHALA ANAPOKUWA AMEAMUA KUFANYA HIVYO"
Kwanini Unadhani Mwanaume wako hawezi KUKU-COMFORT?
Iko shida Wanaume wameumbiwa KUTOTHAMINI VYA KWAO! Mtanisamehe Wanaume kwa kauli hiyo, Kwanini Mwanaume anaweza kum-COMFORT Mwanamke wa nje na si mkewe? Sababu ni moja tu HAJUI THAMANI YA MKEWE... Na kwa ushenzi unakuta MKE NI MZURI KULIKO HAWALA😂😂
Ok naweza kusema pengine Mwanamke nae ni chanzo cha kutomfanya Mume am-comfort but HATA HUYO HAWALA AKIMZOEA HAWEZI KUM-COMFORT hapo ndipo utajuwa kwamba MWANAUME BY NATURE HAJUI THAMANI YA MWANAMKE🙋🏻‍♂
Lakini ukikutana na Mwanaume ajuaye THAMANI YAKO KAMA MWANAMKE WALLAH UTAIONA DUNIA NI MALI YAKO💃💃
Kama kila Mwanaume ni COMFORTER WA MWANAMKE KWANINI MKE AHISI MUME HASIMAMII KUM-COMFORT HATA AKAJIKUTA ANA MUME AMBAYE HAWEZI KUM-COMFORT NA KUTIMKIA NJE KUTAFUTA COMFORTER?🤣🤣
Kwanza haka ka kizazi ka Wanaume wa sasa nao Kuna kama ka Shida kamoja "WANAUME KUPENDA MTEREMKO KULIKO MLIMA🙊"
Kimbilio la Wanawake wengi ni kwa VIJANA TEGEMEZI KUPITIA MAPENZI wenyewe wanawaitaje kweli "MARIOOO"
Kwa maana hiyo Mwanamke anapokuwa na hakika ya kumudu gharama za Marioo ni ngumu sana kuitafuta AMANI YA NDOA YAKE...
Ni wanawake wachache sana ambao wamepata COMFORTER anayejimudu kwamba wamekubaliana kushare life baada ya kuyatesekea MAPENZI!
Ombi langu kwa Wanawake na Wanaume KAMA HAMUWEZI KUENDELEA NA MISINGI ILIYOWAKUTANISHA KAMA WANA NDOA NI BORA KILA MMOJA AKAREJEA KWENYE UHURU WAKE ili kutoharibiana Muda pamoja na Majira, Usawa wenyewe wa Brother John hataki mchezo, halafu na MAPENZI KITU CHA HIYARI KITUTESE? Inauma kwakweli Mimi NAKATAA HAPANA HILO LIPO KWENYE UWEZO WA AKILI ZETU... Chukuwa 50 zako nami niachie zangu 50 ili kila mmoja akapambane na maisha yake ili upande wa MWANAMKE tuwakatae ma-COMFORTER vivyo hivyo Wanaume tukatae kuwa ma-COMFORTER Kwani hapo hakuna UPENDO bali ni mambo ya kupotezeana muda na kuingizana kwenye STRESS ZISIZOKUWA NA MAANA🙋🏻‍♂
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz