Maisha ya NDOA sio kwa ajili ya kupata FAMILIA 👪 peke yake ⛔️
Bali ni pamoja na KUUJUA UPENDO 💝 ULIOPO NDANI YA MWENZA WAKO JUU YAKO🤔
Ulimwengu wa WANA NDOA WA KWELI NI HUU;
• Mwanamke kumpata Mwanaume wa MAJUKUMU 💯
• Mwanaume kumpata Mwanamke mwenye MAONO💯
Ndoa ya kweli ni ile iliyojengwa kwa msingi wa UPENDO WA NAFSI lakini pia kuta za ndoa hiyo zisimame kwa HURUMA NA UVUMILIVU wala si kwa hizi NDOA za sasa zinazotawaliwa na UGUMU WA MAISHA😂😂
Mwanamke anapokuwa ni mwenye maono, Maono ya Mwanamke huyo yakapokelewa na Mwanaume mwenye MAJUKUMU niamini FAMILIA HIYO HAITAKUWA NA UDUMAVU⛔️
Lakini kwa ndoa zinazotawala sasa kwamba Mwanamke anahitaji Mume ili kupata HARUSI pamoja na kuitwa Mama niamini MWISHO WAO WALA HAUKAWII kwa sababu ataingia kwenye ndoa kwa mahitaji na sio UPENDO😂😂
Ukirudi kwa Wanaume wa sasa nao wanawazia urahisi wa Maisha kuliko kujua JUKUMU WALOPEWA NA MUNGU KWAMBA WAO NI KICHWA CHA NYUMBA hata wakaangukia kwenye udhaifu wa ki fikra hata wakamtafuta Mwanamke kwa malengo yao 😭😭
NINI KIFANYIKE KUNUSURU NDOA ZA VIJANA WETU?
• Kila mzazi analo jukumu kumjenga mtoto wake kwa kumpa misingi imara juu ya maana ya NDOA💯
Hakutakuwa na Mwalimu yeyote wa kumfundisha MWANA NDOA ila wazazi wake tena kabla ya NDOA yenyewe.
Wazazi badala ya kufurahia HARUSI YA MTOTO WAKO fikiria zaidi ANGUKO LA NDOA YA MWANAO baada ya kukosa ELIMU YA NDOA KUTOKA KWAKO japo kuna wimbi kubwa kuna wazazi nao ni MIIBA KWA NDOA ZAO haitakuwa rahisi kutoa Elimu kwa watoto wao Maana tayari mtoto anajua WAZAZI WAKE WANAISHIJE😂😂
Eeeee MUNGU TUNUSURU NA JANGA LA NDOA🙏
#Elista_kasema_ila_sio_sheria🔨

No comments:
Post a Comment