HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI? - EDUSPORTSTZ

Latest

HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI?

Mwanamke Akiambiwa "Nakupenda.. " nini Humjia Kichwani? - francosamuel
1.Anaekuomba msamaha wakati hajakufanyia chochote kibaya.
2.Yule anaelia sababu anakupenda au kukukumbuka.
3. Anaejaribu kukurudisha wakati mlisha achana.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado atakuambia anakupenda na kukufanyia yote utakayo.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
9.Anaesema anakupenda au kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz