Zijue SMS Za Birthday Za kumtumia Mpenzi wako Au Rafiki - EDUSPORTSTZ

Latest

Zijue SMS Za Birthday Za kumtumia Mpenzi wako Au Rafiki


Related image

Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,
hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,
 hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,
 zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
 Happy Birthday mpenzi. 
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•


Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe
 maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
 pongezi kwa wako wazazi
 kwa kukuzaa mpenzi,
 nakupenda la azizi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•


Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu,
 unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia,
 happy birthday mpenzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•


Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
 akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
 pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
 nakupenda la azizi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz