WANAUME! HICHI NDICHO KINAWAVUTIA SANA WANAWAKE KUKUPENDA - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAUME! HICHI NDICHO KINAWAVUTIA SANA WANAWAKE KUKUPENDA

`Hakuna kitu kinachomvutia mwanamke anaejitambua kama kuwa na mwanaume mwenye hekima na busara. Yule mwanaume smart, mchakalikaji, mwenye hofu ya MUNGU na anaejua kuongea maneno matamu yasiyokera masikio. Mwanaume huyu anaweza akasababisha roho ya mwanamke izimie kwa muda 😘😘😘💦💦💙💙
Unaambiwa katika BIBLE malkia wa Sheba alipoona hekima ya Sulemani, na nyumba aliyoijenga, na vyakula vya mezani mwake, na kikao cha watumishi wake, na usimamizi wao wangoje wake, na mavazi yao; na wanyweshaji wake, na mavazi yao; na daraja yake ya kupandia mpaka nyumba ya Bwana (Sehemu ya kuabudu); roho ya yule malikia ilizimia kwa muda!
( 2 Mambo ya Nyakati 3-4)
Hakuna jambo linalovutia kama Swaga za mwanaume anaemtumikia MUNGU 🙈🙈😃😃😘😘💓💓💓💯💯```🖐🏻
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz