WANAOKUTONGOZA WANAANGALIA NA UNAVYOJIWEKA WEWE DADA AMKA ZINGATIA HILI - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAOKUTONGOZA WANAANGALIA NA UNAVYOJIWEKA WEWE DADA AMKA ZINGATIA HILI

Image result for mapenzi ya kweli

UTAMU KITANDANI NI NINI?? 
(WAKUBWA TU 18+) : JIFUNZE MAMBO YA CHUMBANI TU 

>>>BONYEZA HAPA KUONA LIVE 
>>>BONYEZA HAPA KUONA LIVE 
>>>BONYEZA HAPA KUONA LIVE

Ukiona wanaokutongoza wote wamenyoa viduku, wana mabrich kichwani, wavaa milegezo , wavaa suruali zilizopasuka magotini...dada angu ujue tu safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!!wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako..ndio maana hutongozwi na husband material !!!unafuatwa na wakufanana nawe!!!kuna ka umri mwanamke anz kufanya mabadiliko ya kimuonekano na maneno unayoyaongea..sasa muda wote umevaa vimini , mdomo wako umejaa uswahili na umbea yaani wewe ni mama msipitwe kila linalotokea mtaani umoo!!!afu unataka husband material ndugu yangu wee utakutana na chapa ilale..hakuna atayekubali kuwa na mke ambaye watoto wataiga utumbo kwake!!men's kwenye secta ya kuoa wako makini kuliko mwanamke unavyoweza kufikiri!!!anaangalia mwanamke anayeweza akamtambulisha nyumbani na wakamkubali..anataka mwanamke mlezi wa watoto wake..anayweza kuwa kioo cha watoto wake!!sasa wewe kutwa upo club!!hakuna show ya wasanii unayokosa..nguo unazovaaa ni miujiza !!!afu umekomaa nataka nipate mwanaume anajielewa!!!ndugu yangu badilika miaka haisimami usisubiri mpaka kengele kuwa umekua !!!una miaka 27 huna direction yoyote ya kubadilika bado umekomaa na top zinaonesha mpk kitovu!!huna habari kabisaa.....!!mwenye sikio na asikie..neno langu si sheria..ushauri si amri....utamlaumu MUNGU wee..utaongea maneno ya kijasiri eti MUNGU ndiye anayepanga kumbe mchawi wa ndoto zako ni wewe mwenyewe!!!!!hata VITABU vya dini vinasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!hizo nguo fupi, mabrichi kichwani.kwenda club, disko , bar mpaka usiku wa manane, kila show umooo afu hapo hapo unataka mume ni kukosa maarifa#Maombi yangu kwa MUNGU kwa wale girl fighter wapambanaji wanaomba MUNGU awaoneshe wanaume wa ndoto zao..maombi yangu yapo nanyi..
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz