UMEKUWA NA MAHUSIANO NAE KWA MIAKA KADHAA AKIAHIDI KUKUOA SASA KWANINI AKUACHE NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE🤔 - EDUSPORTSTZ

Latest

UMEKUWA NA MAHUSIANO NAE KWA MIAKA KADHAA AKIAHIDI KUKUOA SASA KWANINI AKUACHE NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE🤔

UTAMU KITANDANI NI NINI?? 
(WAKUBWA TU 18+) : JIFUNZE MAMBO YA CHUMBANI TU 

>>>BONYEZA HAPA KUONA LIVE 
>>>BONYEZA HAPA KUONA LIVE 
>>>BONYEZA HAPA KUONA LIVE 
Kwanza kabisa ifahamike;
• MAHUSIANO SIO CHETI CHA UHITIMU WA KUWA MKE MWEMA💯
Muda mwingi amini MAHUSIANO hayakupeleki kwenye NDOA japo unaweza kupata nafasi kubwa ya kuolewa kwa sababu kuu moja
" HANA CHAGUO JINGINE ILA WEWE"
Niamini Mwanamke Wanaume walio wengi hawaoi kwa kutazama TABIA YA MWANAMKE ila hutazama UTII kwani hakuna Mwanamke mwenye UTII akamdharau Mume wake💯
Wanawake wengi mnajivunia TABIA NJEMA huku mkiwa mmejawa viburi hiyo itaendelea kudumaza fikra zenu ndo maana ya wewe kuwa na TABIA NJEMA lakini amekuacha na kuangukia kwa Mwanamke ambaye wewe kwa macho 👀 unamtazama kama hana TABIA NJEMA ila nikwambie mwenzio ni MTII😅😅
Kama kuna kitu kinawala wanawake ni DHARAU KWA WANAUME ZAO hilo ni janga kuu, Wewe bwana kaa ukijua Mwanaume haoi kwa sababu umedumu nae kwenye uhusiano ama umejitoa sana kwake, Ila Mwanaume huyo aweza kuoa Mwanamke ambaye hata hajui tabia yake ila amegundua Mwanamke huyo ni MTII KWAKE📌
Wanawake wengi mna DUA LA KUKU oooh atarudi tu shenzi kabisaaaaa arudi kufuata nini na tayari amepata anayemfaa?
Mwanamke usijidai kwa sababu unamzidi kipato ama nafasi ya ki maisha mwenzio kwani Mwanaume akiamua anaweza kuoa KILEMA na wewe una miguu yote miwili😎
Mwanamke jifunze kuhusu MWANAUME ili upate kujua yatakayokufanya ujitenge na kujiamini kwani TOLEO HALISI LA MWANAUME HALIJATOKA ila yupo na wewe kwa sababu amekuchagua😂
Hitimisho;
• MWANAMKE USIJIPE HAKIKA YA KUOLEWA NA MWANAUME KISA UMEDUMU NAE KWENYE MAHUSIANO IKIWA HUNA UTII
MWANAUME BILA KUMTII HAWEZI KUKUOA KAMWE.
Wanaume by nature ni waoga wa kuumizwa kwa ufupi WANAPENDA KUJIHAMI ndo maana siraha kuu ya Mwanamke kwa Mwanaume UTII💯
Mengine tutafundishana na kuelekezana ili kujazia PACKAGE YA NDOA.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz