UMBALI hauvunji uhusiano UKARIBU hauimarishi penzi - EDUSPORTSTZ

Latest

UMBALI hauvunji uhusiano UKARIBU hauimarishi penzi


ila tabia yako na unae mpenda ndivyo vita amua mwisho wenu...Anae jiamini na kujiheshimu ataendelea kuwa hivo awe mbali au karibu na mwenza wake...
****-**-*******-*
OA AU OLEWA na mtu ambae una amini ataweza.kuwa furaha yako na mshirika wako.mzuri ktk familia.......
********************
hujafa huja umbika ko USIANZE MAISHA YA NDOA NA MTU KISA ANA MWONEKANO MZURI maana siku akipatwa na tatizo litalo haribu sifa yake ni wazi kuwa uta muacha...
*******------**-*********
TABIA ndiyo sharti la kwanza kuchagua mwenza wa kuishi nae...maisha ya mapenz au uchumba ni rahisi ila maisha ya NDOA ni mtihan ambao hauna mazoea bali una hitaji maombi usiku na mchana.
ANAE PENDA AU KUPENDWA ANA TARAJIA KUPATA FARAJA NA FURAHA
*****-*****-**********
FARAJA NA FURAHA hupatikana mtu akijua ana
pendwa
heshimiwa
thaminiwa
kumbukwa
sikilizwa
hata ungepewa au ungekuwa na pesa ila ukikosa hayo huwezi furahia UHUSIANO japo utakula vizur na kuvaa vizuri kwa kuwa pesa ipo.........
........
****-********************
ni kweli ana PESA kila unacho taka ana.kupatia ila ana faida gan kesho ikiwa ni mwingi wa dharau na tamaa ?? ata kupeleka wapi ikiwa tayar ana familia yake wakat huo nawe una taman OLEWA ??Pesa uliyo hongwa mda waweza fungua biashara uka jikomboa na utumwa wa ngono na kumtegemea mwanaume.
...........
************--**
Ni kweli ni BINTI mrembo.anae jua mapenz kitandan na kila mmoja ana mtaman kwa wake uzuri wa sura na umbo ila hakufai kwa kuwa UZURI wake kaugeuza biashara kila mwenye pesa ata mfunulia na wakat huo kijana una taka mke wa kuoa................
...
..tamaa ya maumbile au mali.isi.haribu maisha na malengo yetu vijana....
*************
BORA KUCHELEWA KUINGIA KTK NDOA ILI MWISHO WA SIKU UWE NA MTU SAHIHI
..
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz