Siku hizi kukamata mchepuko wa mkeo au mumeo ni ngumu zaidi kupata namba ya nida!!!! - EDUSPORTSTZ

Latest

Siku hizi kukamata mchepuko wa mkeo au mumeo ni ngumu zaidi kupata namba ya nida!!!!


HUWA WANAANZA HIVI...
Kwanza kama ni wakike atasaviwa kwenye simu jina la kiume wa kike atasaviwa jina la kike!!ngoma inaanza tangu siku wanatongozana mwanaume atamwambia mwanamke mi ni nina mke na mwanamke atamwambia mwanamke mi pia nina mume!!wakikubaliana mkataba wa kingono unasainiwa!!!
MAWASILIANO HUWW HIVI...
*kwanza kabisaa mchepuko wa kiume utajua ratiba yako yote kuwa mchna mkeo anakuwa kazini au nyumbani na ww unakuwa kazini..pia mchepuko wa mumeo utajua mida hii yuko kazini mida flani anakuwa nyumbani
Wakirudi nyumbani chatting huwa hvi
KIBONDE: Sister vip
ANITA;kuwa huru my hayupo
KIBONDE;Kaenda wapi
ANITA;yuko nje huko na wanawe
KIBONDE:hahaha/hajui kuww mzigo unaliwa
ANITA:ajulie wapi /si anajikuta yuko busy na kazi
KIBONDE:Unafanya nn now kwani!!
ANITA;kaja baby bye !!ntakustua akiondoka.
KIBONDE;poa my kumbuka kufuata text
ANITA;poa my usijibu hiibtext.
*bahat mbaya ni kuwa huyu kibonde anayechepuka ameoa akisikia mkewe naye anatoka nje ya ndoa anaweza kufa kwa mawazo anasahau kuwa hata yeye anatembea na mke wa mtu/na huyu ANITA naye anatoka na kibonde lakini akisikia huyo mumewe anachepuka mziki wake unaenda kuishi ofisi ya mtaa anasahau kuwa naye anatoka nje ya ndoa//haya ndio mapenzi bwana MKUKI KWA NGURUWE MCHUNGU!!!
....natamani niendleee ila ngoja niishie hapa maana hichi nilichokiandika ni ishara tosha kuwa kwenye ndoa ni wachache sana wako salama!!!!, ....
HEBU WAZA HILI., .alafu beba kichwani
We si unatoka nje ya ndoa!!yes ww hapo naongea na ww!!eeh ww mwenyewe si unatoka nje ya ndoa bro!!hivi huyo mke wa mtu unavyomfanya hapo kwenye 18!!ushawahi waza kuna jamaa mbavu nene linamfanya mkeo kama unavyofanya ww!!eeh usivimbe!!yule yule mkeo unayemuona mzuri na umbo lake fikiria tu jamaa linamminya kweli yaani !!yaani ile show ya saa zima NON STOP!!!usiumie ndio ujue huyu mke wa mtu unayetoka naye kwa siriiii mumewe mpaka hajui ndio ujue yawezekana kuna jamaa liko GYM linapasha kwa ajili ya mkeo!!!hii NDIO NIPE NIKUPE!/!na ww kadada unachepuka na jamaa wa watu hutak hata ahudumie familia yake!!ushawahi waza huyo mumeo naye adakwe na vitoto vya IFM afu ww ndani uambulie buku buku tu..usitoe macho ulivomteka mume wa mwezio hata mumeo anaweza dakwa hivyo hivyo!!...endeleeni kuwaza!!!mimi huyoooooooo.....#KIBONDE
Counsellor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz