Ndoa ni baraka na kila mtu aliandikiwa mahali, siku na saa ya kukutana na mwenza wake wa maisha. - EDUSPORTSTZ

Latest

Ndoa ni baraka na kila mtu aliandikiwa mahali, siku na saa ya kukutana na mwenza wake wa maisha.


Sio kwavile umri unaenda, wenzako wanaoa or kuolewa, basi ikakupa presha ya kutafuta mtu yeyote tu wa kuishi nae.
Or ukajisumbua kujing'ang'aniza kwenye mahusiano yasiyo sahihi yenye mateso, usaliti na maumivu, kisa tu huyo ndiye aliyekuahidi kuwa atakuoa.
Wakati sahihi, na mtu sahihi aliyeandaliwa na Mungu kwaajili yako akija. Utaona jinsi maisha yako yatakavyo badilika na kila kitu kwenda kama ulivyokuwa ukitamani iwe.
Hang in there,
If it was meant to be, it will surely be.
Leonard_Young_Mucky
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz