MTU BORA KWAKO LAZIMA AWE NA SIFA HIZI - EDUSPORTSTZ

Latest

MTU BORA KWAKO LAZIMA AWE NA SIFA HIZI


Mtu ambae anakuthamin ukiwa huna kitu ,huenda umesoma ila huna kaz,una kaz ila kipato kidogo lakin wala haoneshi kukuchoka
Mtu ambae ana kukimbilia wakat wengine wana kukimbia. Wanapo kuona kama tope ila yeye ana amin kuwa tope litasafishika
Mtu ambae anakufariji kipindi moyo wako na maisha yako vimetawaliwa na masononeko. Wakat wengine wakikucheka yeye anakupa tumain la ushindi
Mtu ambae mpo mbali mbali lakin hajawah kupunguza mawasiliano nawe. Bado ana amin kuwa IPO SKU mtaonana
Mtu ambae pamoja na elimu yake,kaz nzur na pesa zake lakin hajawah kukudharau. Bado anakuona we muhim kwake
Wakat wengine wanakuona we taka taka hufai hata kusogelewa,lakin yeye anakuona bora mwenye haki kukumbatiwa.
Anazungukwa na wanaume wenye pesa na Handsome lakin bado akili yake IPO kwako tu.
Anakutana na warembo wenye sura nzur na mambo ya kuvutia lakin akili yake ni kwako tu. Hawaz kuku kwaza na hapend kukupoteza
Sio rahis kumpata mtu kama huyu awe RAFIK au MPENZ ama NDUGU. Na ukimpata basi jitahid kudumisha ukaribu wenu ili siku asitoweke kwako. Watu kama hawa huwa kama MALAIKA walio tumwa na Mungu kukupa maisha mapya
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz