🔻🔻 *💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞 - EDUSPORTSTZ

Latest

🔻🔻 *💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞

MAPENZI – Page 32 – My Blog

🔻🔻 _✍🏾Unajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_ _

✍🏾Be the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa 

.*_ _✍🏾Rafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*

_ _✍🏾Mapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*

_ _✍🏾Learn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*

_ _✍🏾swala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC $ex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_ _*Namalizia kwa hili

*_ _✍🏾Hakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_ ```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo`
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz