JINSI BODA BODA ZINAVYOCHANGIA KUTANU U-KE - EDUSPORTSTZ

Latest

JINSI BODA BODA ZINAVYOCHANGIA KUTANU U-KE

Related image


Miaka ya nyuma kulikua na mkao wa kike na kiume, ila sasa waneona ni gender stereotypes na fashion, hakuna wa kike wala wakiume. Imagine mtu anatanua miguu kutoka kinyerezi hadi Ubungo.

Tena si maramoja, yan daily mtu akitoka kazini.Tena wao wanaona fashion kutanua sana na kubinua kiuno ili waangaliwe wanachura then baada ya muda wanataka dawa za kubana uke au waseme watu wanakibamia.

Hivi vitu ni vya kua makini navyo sana bora upande guta unyooshe miguu.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz