HAYA NDIYO NILIYOAMBIWA KUHUSU WANAWAKE NAOMBA USOME KWA MAKINI. - EDUSPORTSTZ

Latest

HAYA NDIYO NILIYOAMBIWA KUHUSU WANAWAKE NAOMBA USOME KWA MAKINI.

Wakati npo na babu jion nikisubir chakula cha jion babu akaniambia Ana mambo ya kuniambi, Nkakaa kumsikiliza kisha akaanza kwa kusema jambo LA kwanza ni
1.Mwanangu, (Yeah Kazoea Kuniita ivo sijui na anapenda kuniita ivo badala ya mjukuu) kama unaendelea kufanya matumizi na mwanamke, na
Anaendelea kufurahia, wala hakuulizi ka unaweka akiba, usimuoe.
2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke mzur kwako, mwingine anaweza kuwa mama mzur kwa wanao, lakin ukipata mwanamke kam bibi ako, wanao, au familia itakuwa na furaha saana tafadhali usimwache aende.
3. Mwanangu usimweke mwanamke ka mtu wa jikon pekee, umepata wazo ka hili? Hata katka siku zetu tulikuwa na mashamba walikokuwa wanafanyakaz kila siku.
Na hiyo ilikuwa ofc yetu.
4. Mwanangu nnaposema ww ni kichwa cha nyumba.
Usikimbilie kuangalia mfukoni una shingap;bali angalia kama utaweza kuona tabasamu kwenye uso wa mkeo.
5. Mwanangu kama utahitaj kuwa na maisha marefu acha mkeo ajue n shingap unapata kwa mwezi. Itakuwa ngumu kwake kutumia zote wakat anajua mahitaj ya nyumban na bills znazotakiwa kulipwa, lakin kama hajui unalipwa sh ngap ataendelea kukuomba hata kama zmeisha
6. Mwanangu usijarbu kumpiga mkeo, maumivu katka mwili wake si chochote,
Kulinganisha na kidonda kinachobak katk moyo wake, Na itakupa shida saana kuishi na mwanamke mwenye kidonda moyoni.
7. Mwanangu ukioa, usiishi maisha kama bado bachela, ukiishi hivo soon 🔜 utakuwa bachela tena.
8. Mwanangu, enzi zetu tulikuwa na wake weng na watoto weng pia na mazao yalikuwa meng vile vile, kwasasa jitahid kumweka mkeo kwa uakarbu.
9. Mwanangu chin ya mwembe ule ndo nlikuwa nakutana na Bibi ako kwasasa mnakutanaga restaurant 🍴, lakin kumbuka ktu tulichokuwa tunakifanya enzi zile ilikuwa kwaajili ya kuwa karbu zaid. na si vinginevyo
10. Mwanangu usimkimbie mkeo baada ya kupata pesa, badala yake zitumie pamoja na mkeo maana ndiye mtu anayejua n jins gan umezipata kwa shida, tumia na mwanamke uliyeanza nae mbal.
11. Mwanangu, wakat ule nlipokuwa narusha mawe madogo kwenye dirisha la bibi ako au nkipiga mluzi kumwita nje haikuwa kwasabab ya ngon ilikuwa n kwasababu nmemiss saana
12. Mwanang katika maisha bibi ako ndiye.............. (Ghafla nmeitwa na mama jikoni ndio naenda nkirud nakuja kuwamaliza kilichoendelea ama VIP...) #MkakaFulani
#HatuweziKuwaSawa
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz