HASARA ZA KUFANYA TENDO LA NDOA BILA KUANDAANA - EDUSPORTSTZ

Latest

HASARA ZA KUFANYA TENDO LA NDOA BILA KUANDAANA


Kama una tabia ya kumparamia mpenzi wako bila hata kumuandaa, basi tambua hasara hizi 5 zinakuhusu.
1. Kamwe mpenzi wako hawezi kuridhika, hususani wanawake. Mwanamke anahitaji maandalizi ya kina kabla ya kuingiliwa, ukimparamia bila maandalizi, hawezi kabisa kufika kileleni.
2. Unaweza kusababisha michubuano na maumivu makali katika sehemu za siri kwa ajili ya ukavu. Maandalizi husaidia kutengenezwa kwa uteute unaosaidia uume kupenyeza ukeni kwa urahisi zaidi.
3. Ni ishara hauna upendo wa dhati kwa mpenzi wako. Kumparamia mpenzi wako bila hata kumuandaa ni ishara tosha haumpendi, unajali hisia zako tu, na sio hisia zake.
4. Ni ishara ya kuchokana, na hii hutokea hasa kwa wapenzi waliokaa katika mahusiano kwa muda mrefo. Kumparamia kunaweza kumfanya akuchoke kimapenzi.
5. Unajikosesha mautamu kitandani, na pia unamdhurumu mpenzi wako haki yake ya kufurahia penzi. Je, huwa unamuandaa mpenzi wako kabla ya kufanya mapenzi au ndio unamparamia kama jogoo vile?
USIPITWE NA HII..
👉🏾
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz