ACHA NIWAPIGE DONGO TU MAANA HAMNA NAMNA. - EDUSPORTSTZ

Latest

ACHA NIWAPIGE DONGO TU MAANA HAMNA NAMNA.

TOP 10 YA MAKABILA YENYE WANAWAKE WAZURI TANZANIA. HII HAPA NDIO ...
Kwenu baaadhi ya wanawake wenye tabia hii,
Siwezi kuwazuia kutoka na wanaume tofauti tofauti eti kisa wana pesa. Mnaweza kuendelea kufanya mapenzi na kila mwanaume mwenye pesa hata awe babu aliyestafu kwenye iliyokua Jumuiya ya Africa Mashariki.
Endeleni na mle pension yake vizuri mpaka babu afirisike akatiwe umeme na maji nyumbani kwake.
Wekeni rekodi ya hoteli na Lodge zote mlizolala na wanaume katika kumbukumbu zenu.
Kweli kabisa baadhi ya wanawake hawajielewi kabisa na hawajui wanataka nini. Imagine idadi ya wanaume aliotembea nao inazidi namba ya umri wake. Mfano ana miaka 25 ameshatembea na wanaume 32 tofauti.
Khaaa hivi wewe ni kwamba beki zako ni dhaifu hazikabi mpaka umekuwa kibonde watu wanajipigia tu magori nyavuni kama wanavotaka?
My sister unafikiria nini?
Unaweza ukaendelea tu na huo upuuzi wako kwa sababu unataka kuwa "top of the town" unataka kutumia latest smartphone na unataka kuvaa nguo za gharama.
Endelea tu kwa maana hayo hayanihusu hata kidogo "it's none of my business" na sina tatizo na unayoyafanya.
ILA SASA
Issue pekee niliyonayo mimi ni pale utakapofungua mdomo wako na kusema eti utakapotaka kuolewa mwanaume akupende jinsi ulivyo probably ni kile kipindi utakapokua ukikaribia ku 'expire'
Unataka nani aoe makapi? Siku zote mtu huvuna alichopanda. Mtu kama wewe subiri tu upate mwanamume wa aina yako ambae mtakuwa mnafanana tabia. Yaani wote ni vicheche, huyu akienda kwa michepuko na wewe huyo unajikata kwa mchepuko wako hivyo yani, simple tu.
Na tafadhali sana fanya upuuzi wako wote, lakini ukipata mimba usiitoe. Tafadhali sana. Huwezi kuua kiumbe kisicho na hatia kwa tamaa zako za kishenzi.
Niamini mimi mpaka pale utakapotizama future yako ndipo utakapojua kwamba unachokifanya leo ni upuuzi mtupu.
Waachie wanaume wenye pesa zao waendelee kuchimba, utakayeumia ni wewe, bila shaka unataka kutengeneza bwawa.
Ndio hayanihusu, ila ukweli nimeshasema ukiona mchungu karambe ndimu, ukiona uchungu bado upo nitukane tu!
Come on ladies mwalimu wenu sio kipofu, upofu ni wenu wenyewe.🚶🚶
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz