WANAWAKE HIVI MNAJUA HATA MUNGU ANAJUA KWAMBA MWANAUME APENDI KELELE - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAWAKE HIVI MNAJUA HATA MUNGU ANAJUA KWAMBA MWANAUME APENDI KELELE


Mithali 9:13
[13]Mwanamke mpumbavu hupiga kelele,
Ni mjinga, hajui kitu.
Mithali 7:11
[11]Ana kelele, na ukaidi;
Miguu yake haikai nyumbani mwake.
Mithali 14:1
[1]Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake;
Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
UKITAKA NDOA YAKO IDUMU PUNGUZA KELELE LAWAMA
NENDA KISTAARABU KWA MPENZI WAKO HONGEA NAE KIESHIMA HATA KAMA KOSA LIKO KWAKE AU KWAKO JISHUSHE ILI NDOA YAKO IWE IMARA
USIMWONE MAMA AKO ALIKAA NA BABA AKO MPAKA WANAZEEKA UNASEMA NDOA YA MAMA NA BABA NZURI ALIVUMILIA MENGI NA NDOA YEYOTE ILIYODUMU SIO RAHISI AU UPENDO TU WATU WALIVUMILIA MENGI




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz