☑️Wanaume hudhoofisha au kubomoa mahusiano na Wake wao kwa sababu zifuatazo: - EDUSPORTSTZ

Latest

☑️Wanaume hudhoofisha au kubomoa mahusiano na Wake wao kwa sababu zifuatazo:

☑️Wanaume hudhoofisha au kubomoa mahusiano na Wake wao kwa sababu zifuatazo:
👍🏾 Kukosa msimamo na kuwa mtu wa kuburuzwa
👍🏾 Kutojiamini/kukosa ujasiri
👍🏾 Kushindwa kujitegemea/kujitosheleza kimahitaji/kuwa omba omba
👍🏾Kujisifia kwa mafanikio ya wengne (kaka, dada, mama, baba n.k) kama ndio mafanikio yake
👍🏾 Kukosa ubunifu katika maeneo yote
👍🏾Kushindwa kutekeleza wajibu wake
👍🏾 Kuwa mtu mizaha/utani na wanawake wengine na kuwa mkimya kwa mwenzi wake
👍🏾Kutenda mambo ya aibu kama ulevi, wizi, matusi n.k
👍🏾 Kushindwa kutimiza mahitaji muhimu kwa familia
👍🏾 Kuchelewa kurudi nyumbani pasipo sababu za msingi
👍🏾 Kushinda vijiweni kama kwenye draft, pool table, bao n.k wkt nyumbani hali ni tete. Haya humfanya mwanaume kuitwa mwanaume suruali. Kama hujaolewa jipime kama unaweza kufurahia maisha na Mume wa mtindo huo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz