UWEZO WA KUWA PEKE AKO NI UWEZO WA KUPENDA NA KUJIPENDA PIA - EDUSPORTSTZ

Latest

UWEZO WA KUWA PEKE AKO NI UWEZO WA KUPENDA NA KUJIPENDA PIA

 Image may contain: one or more people and people sitting

japo nikiri iko shida hutawala nayo ni UPWEKE ila tu ukiruhusu udhaifu wa kukubari kuumia na wakati yaliyokupata YAMEISHATOKEA...
Inaweza kuonekano inakuchanganya ila sivyo kama unavyofikiria, Ni wewe wa kuiondoa akili iliyo-stuck kichwani na kuanza kufikiria mapya, Ni ukweli MCHUNGU lakini huwezi kuubadili uwe kama asali, Ni wale watu pekee wanaoweza kuwa peke yao ndo wanaweza kukupenda maana na wao wanapitia magumu kama yako chagua KUILINDA FURAHA YAKO kuliko kungojea mtu akurudie ambaye unadhani ndiye wa muhimu kwako, Kibaya ni pale mtu anapobaini HUNA UJANJA KWAKE... Hilo ndilo litakuwa teso lako na usipojipanga kuondoa hali hiyo WEWE NI MHANGA! kwenda ndani zaidi kwa mwingine bila kumshirikisha unatokea wapi na umeumizwaje nalo ni janga japo unaweza kukutana na mlevi wa Mapenzi akakupokea kilevi ukaja kujutia, bila kuwa tegemezi kwa akili yako ukawekeza akili na mawazo yako yatokane na kushauriwa MY SISTER WAFAAAAA... bila kupunguza kitu kwa mwingine na bila kuwa na mazoea kwa mwingine itakutenga na furaha, Mruhusu uhuru wote kwa sababu yeye ndiye anatakiwa kujua kwamba UNATAKIWA UONDOKE KWENYE UPWEKE! Mapenzi ya kung'ang'ania Yana kero zake hasa ukikutana na MSHENZI WA TABIA hapo utajikuta unahangaisha moyo na kupoteza muda wako bure, Baki mwenyewe uje kupona kuliko kukaa na mtu anakuuguza kila siku UTATAMANI UFE na wala hataacha maana ni tabia yake,
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 💪
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz