UONAPO MWANAUME ANAKULILIA NA KUJISHUSHA KWAKO UJUE WEWE NI....! - EDUSPORTSTZ

Latest

UONAPO MWANAUME ANAKULILIA NA KUJISHUSHA KWAKO UJUE WEWE NI....!

Image may contain: 1 person, standing and wedding

Uonapo Mwanaume anakulilia na kujishusha kwako ujue WEWE NDO KIBOKO YAKE🤣
Maana hao viumbe by nature hawanaga upendo ila Kuna wakati HUWA WANAPATIKANA NA KUKWAMA MAHALA... Hivyo ukijua ama kuhisi Mwanaume uliye nae ananyenyekea kwako ila isiwe kwa sababu Kuna vitu ama kitu kinamfanya hivyo bali iwe kwa uhalisia wa pendo BASI UJUE WEWE NDIYE MBUYU🌳 WAKE💃
Maana wahenga waliposema KILA SHETANI👺 NA MBUYU🌳 WAKE walimaanisha Mtu asiye na UPENDO WA DHATI iko siku atakutana na KIBOKO yake na atakuwa FALA ajabu🤦🏾‍♂
Ewe Mwanamke ukiona Mwanaune amekuwa mdhaifu kwako Basi mshukuru MUNGU ili uweze kudumu kwenye FURAHA NA AMANI Kwani Mwanaume anapokuwa amekwama kwa Mwanamke ni nadra sana kuku-cheat, Muda wake pamoja na akili yake humtazamia Mwanamke wake lakini pia ujue
"SIO KILA MWANAMKE ALIPATA NAFASI HIYO UIPATAYO WEWE UJUE IMEKUWA BAHATI KWAKO"
Sina mengi ya kusema asubuhi ya leo ila ninaloweza kukumbusha ni kwamba;
USIUCHEZEE MUDA NA MOYO WA MTU ALIYEJITOA KWA AJILI YAKO
Majibu ya UPENDO WA DHATI baada ya kuumia ni MABAYA hivyo jitenge na HASIRA ZA MTU HUYO.
Pamoja na yote hayo nikukumbushe KUTOLEWA UPENDO UNAOUONA MBELE YAKO bali pambana kwa hali na Mali mpaka uhakikishe kwamba HUACHII NAFASI YA UZI kupenya kwenye penzi lako, Maana ukilewa upendo utabweteka mwisho wake ni MAJUTO🙆🏿‍♂
UPENDO unahitaji kumwagiliwa matendo mema, ukweli, ukaribu, pamoja na kujitoa muda wote, Yakikosekana hayo TARAJIA KUBAKI NA HISTORIA YA PENDO LILILOKUPA FURAHA NA AMANI na baadaye kutoweka🏃🏻‍♂
Wasalaam Alaykum🙏
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz