UNAFIKIRI NI KWANINI WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOA👨‍❤‍👨 NDO WALIO KWENYE USHAWISHI MKUBWA WA KURUBUNIKA KUSALITI PENZI KULIKO AMBAO WAKO KWENYE MAHUSIANO YA KAWAIDA? - EDUSPORTSTZ

Latest

UNAFIKIRI NI KWANINI WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOA👨‍❤‍👨 NDO WALIO KWENYE USHAWISHI MKUBWA WA KURUBUNIKA KUSALITI PENZI KULIKO AMBAO WAKO KWENYE MAHUSIANO YA KAWAIDA?

Image may contain: 1 person, standing, child and outdoor
Kwanza kabisa tambuwa jambo moja na likupe MAONO jinsi ya kuishi na Mwanamke "KWA MAUMBILE YA MWANAMKE ANAISHI KWA UTEGEMEZI KI FIKRA HIVYO MWANAMKE ILI APATE HAKIKA KWAMBA YUKO NA MWANAUME SAHIHI NI PALE ANAPOKUWA AMEKUTANA NA MWANAUME WA KUITULIZA AKILI YAKE" Mwanamke anatulia ki akili kwa mantiki moja tu AWE NA HAKIKA ANAPENDWA hapo ni ugali kupita kooni ukiwa na bamia "MLENDA" Yaani full mtelezo, Ni kweli hatufananani tabia kutokana na makuzi na malezi ila naomba nikwambie kwa hakika AKILI YA MWANAMKE YEYOTE KWENYE UHITAJI WA UPENDO KWA MWANAUME WAKE NI MOJA YAANI HITAJI LAO MOJA... Niamini Wanawake ni watu wema na wenye upendo mwingi tena wamejawa HURUMA kwa maana moja tu UMPENDE! Kinyume chake nyambulisha mwenyewe na majibu ujipe mwenyewe, Pamoja na majibu mabaya ya kinyume cha KUTOMPENDA MWANAMKE lakini Bob hata sisi wanaume tusipopendwa na tumetoboka kwa manzi tunasemagaje kweli🕺
Hakuna kitu humuuma Mwanamke kama akijikuta amemvulia NGUO mwanaume ambaye hampendi, Hata mimi ningeumia aisee, Yaani nikwambie kweli UKIONA MWANAMKE AMEKUBARI UONE MWILI WAKE UJUE UMEGUSA MOYO WAKE sina maana ya makunguru🦅
Namaanisha kwamba MWANAMKE ANAYEJITAMBUWA💃
Sasa nirejee kwenye swali langu la msingi "KWANINI MWANAMKE ALIYE KWENYE NDOA NI RAHISI KUSHAWISHIKA?"
Jibu ni dogo sana na wala halihitaji akili ya CHUO hata ya CHEKECHEA ILI MRADI UVAE JOHO🎓
Yaani kwa ufupi ni kwamba "MWANAMKE AWAYE YEYOTE HITAJI LAKE KUBWA KWA MAHUSIANO/NDOA AMA NISEME KWENYE MAPENZI ANAHITAJI MWANAUME ATAKAYEJUWA WAJIBU WAKE KWAKE"
ndo maana walioko kwenye ndoa wanakuwa washakosa PACKAGE YA UPENDO na kuanza kuhaha kutaka kujinasua, Hivi unaijuwa raha ya coke cola? Coke raha yake fungua kizibo ukiwa umesogeza pua kale ka gesi kake ndo UTAMU WAKE🤣
Mpatie Mwanamke haki zake za Msingi uone kama utasalitiwa, Ila ndugu yangu ukijifanya mjuaji sana Basi TEGEMEA KULA MAKOMBO japo wenyewe mnasemaga ASALI HAINA NINI? Una akili kweli mtu atie kidole chake kwenye ASALI yako halafu ajilambe nawe uje kulamba ASALI hiyo? Acha kuishi na Mwanamke kwa NAHAU NA MISEMO YA WAHENGA nenda kwenye Point MWANAMKE ANAHITAJI KUPENDWA ndo nature yake.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria🤦🏾‍♂
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz