*💗ULIYE NAE MSHIKILIE HAKUNA ALIYEKAMILIKA* - EDUSPORTSTZ

Latest

*💗ULIYE NAE MSHIKILIE HAKUNA ALIYEKAMILIKA*

Maisha ya Kisha Siku ya Ndoa — Watchtower—MAKTABA KU ENTERNETE
_Wengi katika watu pindi wakishaingia katika ndoa na wakakaa kipindi wakatambuana tabia zao na kasoro zao na mapungufu yao,hujengeka katika moyo wa mtu kwamba labda ndoa ya Fulani ina raha zaidi au mtu Fulani huenda ikawa mzuri zaidi kuliko yule aliyekua nae Labda nikueleze kiti ufahamu;Kila mwanadamu anamapungufu yake na kila *MTU* hukava mapungufu ya mwenziwe na yeye akawa na mapungufu zaidi.Mfano huenda mumeo au mkeo akawa ni mpole si mcheshi ila ukamuona mwanaume Fulani au mwanamke Fulani mcheshi lakini ukamkuta na tabia ingine mbaya zaidi mfano tabia ya choyo,au roho mbaya Na huenda huyo uliyenae akawa ana mapungufu lakini kuna mwengine ana mapungufu zaidi ya Huyo wako.💗_
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz