UKIWA HUJAJIPANGA KUMPENDA MWANAMKE USIINGIE KATIKA MAHUSIANO... - EDUSPORTSTZ

Latest

UKIWA HUJAJIPANGA KUMPENDA MWANAMKE USIINGIE KATIKA MAHUSIANO...

 
Image may contain: 1 person, smiling

Mwanamke yeyote mwenye akili zake timamu anapenda akutane na mwanaume ili ajisikie kuwa yupo na mwanaume, Mwanamke akimpata mwanaume yule Mwanaume wa jinsia kamwe hanaga papara, Lakini ikitokea mwanamke akakutana na mwanaume kisa amevaa suruali mara nyingi haachi kumtafuta mwanaume wa jinsia maana hata wao wanawake wanavaa suruali! Mwanamke anahitaji mambo makuu mawili na ndani ya mambo hayo Kuna wingi wa maana;
1. UPENDO
2. TENDO
Ukimpenda atajuwa unampenda na atajiamini zaidi, Uwapo nae kama mwanamke unawajibika kukabiliana nae ki mwili ili umpe maana ya wewe kuwa Mwanaume wake, Mwanamke anampenda mwanaume pindi aonapo mwanaume huyo amekidhi viwango kamwe hawezi kukuacha na hata akikuacha kwa sababu zingine hawezi kukusahau maana wewe ulituliza kichaa chake... Pengine unataka kujuwa kichaa gani? 😅😅😅😅 we nae unajifunza umbea, Mwanamke husema wanaume tuna vichwa viwili eti kikubwa na kidogo lakini mbona Mimi sijawahi kukiona cha kwangu? Na Mimi Leo nasema wanawake wanavichaa viwili kingine kipo paleee hicho bwana kikiinuka weee hakuna mtulizaji zaidi ya TABIBU wake huyo mwanamke wala haichukui muda kutulia, Na ukiisha jijuwa kuwa umepewa nafasi ya TABIBU uache uzembe wako kila kukicha uongezage dose asikae anapandwa kichaa kama sio kumponyesha kabisa.👫💑
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz