!UKITAKA KUOA/KUOLEWA ZINGATIA HAYA KWANZA. - EDUSPORTSTZ

Latest

!UKITAKA KUOA/KUOLEWA ZINGATIA HAYA KWANZA.

Kijana wa kiume unapoamua kuoa nakukumbusha tu sura na #shape vyaweza kubadilika ila Tabia njema hudum milele, huyo unaemuoa kumbuka atakua mama wa watoto wako Tena yeye ndie Mwalimu wa kwanza kwa watoto wako kabla ya Mwalimu wa nursery,
Je Tabia yake umeielewa? Umeikubali? Au umepofushwa na umbo namba 8? #Beauty without brains ni sawa na Gari zuri ila linabeba taka.
Sijasema msiangalie shape lahasha ila Tabia nayo usisahau.
Kijana wa kike kuolewa na mwanaume #handsome na mwenye Sixpack hakuleti chakula nyumbani, sijakataa usiolewe na handsome man lahasha ila awe handsome na mwenye bidii ya kazi utakua umebarikiwa...... Ila usisahau mwanaume #anaekupenda na kukujali kwa dhati kabisa ya moyo ni Bora kuliko mwenye million 100 Bank ila hana upendo wa kweli, Si mwaminifu..... Use your brain well.
Bwana atusaidie kujitambua...
Amen
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz