UKIONA HUPENDWI TENA NA MTU AMBAYE ULIAMINI ANAKUPENDA BASI UJUE SABABU NI HII - EDUSPORTSTZ

Latest

UKIONA HUPENDWI TENA NA MTU AMBAYE ULIAMINI ANAKUPENDA BASI UJUE SABABU NI HII

Image may contain: 2 people

Ukiona HUPENDWI TENA na mtu ambaye uliamini ANAKUPENDA basi ujue kuna mahala umeharibu, Maana UPENDO haufi kama nzi kuuawa akizingea chakula, Upendo haupotei kama sarafu mfukoni maana UPENDO NI KITU CHENYE UZITO NDANI YA NAFSI... Usilalamike juu ya KUYEYUKA KWA UPENDO ULIOUZOEA maana chanzo cha hayo unakijua, Kama unadhani unayo nafasi basi mrejee mwenza wako na tengeneza kitu ambacho kitazama ndani yake ili uweze kupokea msamaha, ukiona Mwenza wako amekuwa mgumu kukusamehe jipe muda tena ili urejee kuendelea na maombi yako ya msamaha kwake, Ukiona mara mbili mpaka mara ya tatu Mwenzio hajapokea msamaha wako ujue MOYONI MWAKE ULIISHAONDOSHWA... Using'ang'anie PENZI ambalo tayari unalo wewe peke yako na mwenzio aliisha hamisha akili yake kwako maana mwisho wa siku UTABAKI PEKE YAKO.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz