♦️♦️♦️♦️♦️♦️ UJUMBE MZITO KWA DADA ZANGU - EDUSPORTSTZ

Latest

♦️♦️♦️♦️♦️♦️ UJUMBE MZITO KWA DADA ZANGU


🦚🦚🦚🦚🦚🦚
Sio wote najua wenye tabia hii ➡️ Dada zangu nawashangaa sana yani bint unakataa ndoa kisa kuvaa niqabu ? Hivi hujui niqabu inakupa heshima kubwa sijasema ni haramu usipo vaa🌻
Tena ukiona mume anataka kukuoa na akasema uvae niqabu yani shukuru Allah sana maana dunia ya sasa mtihan wavaa nusu uchi ndo wengi
🌳niqabu inakupa heshima ata uko mitaani kwenu wale balo balo awakusumbui
🌹mfano tizama mwanamke anae jipamba na kuweka picha zake kwenye mitandao anavyo sumbuliwa na wavulana kisa kumzini🍂
Na tizama wale wasio naapicha kwenye mitamdao kama wanasumbuliwa sana sasa ukivaa niqabu ata ukiwa kwenye bas , dala dala nk MTU kukushika shika sio raisi na usivae kuficha maovu yako vaa kwa iman yako🍀
Dada zangu tubadilike tusikose ndoa kisa niqabu vazi LA niqabu sio moto .
🌸🌹Na hii tabia ya kukataa uke wenza na uku unaenda kuziniwa mume wa MTU tabia hii sio nzur kabisa
Ukijua kukataa uke wenza bas jitunze mpaka upate unae mtaka
🌷🎋na hii tabia ya kuuliza yani MTU anataka kukuoa au kasema kuna mvulana ww kitu cha kwanza unauliza kazi utadhani unaolewa na kazi jiulize hiyo kazi itakuchukua wapi?
Ww uliza din kwanza mengine baade na ukitaka kuuliza kazi mwambie hivyo unafanya kazi ya halali au haramu na by atakwambia hapo sema mm napenda uwe na kazi yoyote kikubwa sio haramu
Image may contain: 2 people, people standing and sunglasses
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz