UJINGA WA WANA NDOA NI KUISHI NA WENZA WANAOWATESA KWA KUABUDU MICHEPUKO KAMA RELIEF YA MATESO YA NDOA ZAO. - EDUSPORTSTZ

Latest

UJINGA WA WANA NDOA NI KUISHI NA WENZA WANAOWATESA KWA KUABUDU MICHEPUKO KAMA RELIEF YA MATESO YA NDOA ZAO.

Image may contain: 2 people

Kuna kundi kubwa la watu wanao amini DUNIANI HAKUNA TENA UPENDO WA DHATI ila upo UPENDO wa SABABU ndo maana hali ya MAPENZI imekuwa uwanja wa MAPAMBANO kila mmoja akijaribu kunusuru MOYO WAKE😭😭
Kwa sasa wanaoathirika zaidi kwenye MAPENZI ni wanandoa, Kwa sababu uwapo kwenye NDOA ni sehemu ya kifungo, Ukijaribu kuwa HURU sheria inakuonya, Wanandoa wanapitia magumu sana kwa sababu mwanzo wa ndoa yao walijikuta wamewekezeana UPENDO na kujenga MAISHA YA PAMOJA na wengine kujaaliwa MTOTO/WATOTO ni kitanzi kinachokaba wengi hata wakaangukia kwenye USALITI japo KUPOZA STRESS 😭😭
Mimi naamini zaidi katika UHURU NA AMANI na haiwezekani kuvipata hivyo kama kuna Mtu kashikilia maisha yako, Maana ya NDOA ni HITIMISHO LA MAPENZI NA KUWA MAISHA❤️
Sasa kama uko kwenye level ya MAISHA inakuwaje huna FURAHA 🤷‍♂️
Kuliko kusaliti NDOA AMBAYO ULIINGIA KWA AKILI NA MOYO WAKO just leave it💔 unakwenda kulala na Mtu mwingine na Una NDOA huku bado unalalamika kwamba NDOA YAKO HAIKUPI FURAHA NA AMANI hapo unamkomoa nani kama hujichulii Mwenyewe 🤷‍♂️
Achana na kitu kinaitwa KUCHEPUKA kama ndani ya ndoa yako hupati yanayokupeleka nje HARAKA SANA ONDOKA KWENYE MAISHA HAYO kwa kutofanya hivyo utapata taabu SANA 🙋‍♂️ .
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz