THAMANI YA KITU HUTAJWA KWA JINSI AMBAVYO MTU ANAICHUKULIA🤝🏼 - EDUSPORTSTZ

Latest

THAMANI YA KITU HUTAJWA KWA JINSI AMBAVYO MTU ANAICHUKULIA🤝🏼

Image may contain: one or more people and people standing
Lakini kilicho na thamani kimethaminiwa hata kabla hakijaitwa kuwa na THAMANI👌
Wengi wetu kwenye mahusiano wamekuwa na mtazamo tofauti juu ya MAPENZI kwamba ukomavu wa penzi ni pamoja na MAFARAKANO YA HAPA NA PALE Mimi nakataa kwa sababu UPENDO WA KWELI HAUWEZI KUMPOTEZA ALIYE NDANI YAKE💪🏽 Na kama ndo hivyo huwezi kufanya majaribio kwenye MAPENZI bali unaweza kujaribiwa na MAPENZI! Ni ngumu sana kuyalaza mapenzi halafu kesho uyarudie, Ni rahisi kulaza wali maharage uje kupasha kesho lakini hata chakula kilicholalala hakiwezi kuwa na RADHA ILE ILIKUWEPO WAKATI NDO KIMETOKA KUIPULIWA JIKONI... Iweje Mtu uliyempenda na kumpa DHAMANA YA MOYO WAKO akuondoke na kesho akurudie? Unajua alipoondoka alikwenda kwa nani? Na Je akirudi ndo atakuwa mpya au kuwa ameyaacha yale yaliyo wagombanisha hata akaondoka? WACHA KUKUBARI KIPORO "chakula kilicholala" Ukiweza kula chakula ambacho umekiandaa mwenyewe na kukimaliza ni vyema zaidi kuliko kukilaza kwa kutegemea kukipasha, WENGINE husema ASALI HAINA MAKOMBO
Yabaki kuwa maneno yahusuyo ASALI na wala sio issue ya UPENDO... Hata ASALI ikilambwa na mwingine na akakupa nawe ulambe HILO NI KOMBO🤣🤣🤣
Kama unaijua THAMANI YA KUANZA basi huwezi kuwa mjinga hata uje kuachiwa, Jenga IMANI kwamba MTU WANGU SIPASHWI KUSHARE NA MTU
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz