SIJAKUIBIA MPENZI WAKO ILA NMEMUOKOTA KATIKA JALALA LA MOYO WAKO. - EDUSPORTSTZ

Latest

SIJAKUIBIA MPENZI WAKO ILA NMEMUOKOTA KATIKA JALALA LA MOYO WAKO.


Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali?
OTEA?
Nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na anaendelea vizuri.
Unakumbuka kipindi kile unamdharau na kumpuuza? Aagh Kiukweli Aliniambia kuhusu hilo nilijitolea kumpa muda wangu alipokuwa anahitaji kampani,
Nilimpa sikio langu kumsikiliza,
Nilimpa kifua changu alipohitaji kulia alilie hapo
Na bega langu kumfariji pale ulipompitisha katika magumu.
Pale ulipohisi atakufuatilia na mambo yako sisi tulikuwa bize kufurahia kampani ya kila mmoja wetu,
Na wewe ulikuwa mtu wa mwisho katika fikra zetu.
Hivi unajua kila ulivyozidi kuumiza hisia zake ndivyo ulivyozidi kumsogeza mikononi mwangu?
Ulipodhani hatolala usiku kukuwaza na kukufikiria nilihakikisha analala bila moyo uliovunjika na kupondeka kwa kumuhadithia hadithi tamu na kumuimbia nyimbo nzuri za mapenzi... Thou nilitumia salio jing kumpigia lakin sikujal sabb nilihitaji awe na furaha.
Hivi ulidhani anakosa amani na furaha kulialia kila saa kwa ajili yako?
Hapana kwa upande wangu nilikuwa mbunifu kwa kuhakikisha anacheka na kufurahia maisha muda wote kwa ajili yake niligeuka comedian na alikuwa ni fan wangu no.1 wakati aliponikosa bhass alikuwa mwenye kunitafuta saana maana aliamin mm ni furaha yake na ndivyo ilivyokuwa.
💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
Endelea kumchukulia mpenzi kama takataka sisi hatuna kinyaa tutamuokota tatamsafisha na kumpa thamani. Wengine tuna mioyo kama ya mama zetu tukipenda tunapenda kweli. Hatujivungi Shauri Ako. #MkakaFulani
Image may contain: 3 people, close-up
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz