Si kazi ya mchepuko wa Mwanaume wako kuiheshimu ndoa yenu,bali ni........! - EDUSPORTSTZ

Latest

Si kazi ya mchepuko wa Mwanaume wako kuiheshimu ndoa yenu,bali ni........!

Si kazi ya mchepuko wa Mwanaume wako kuiheshimu ndoa yenu, bali ni kazi ya mume wako kuiheshimu ndoa yenu.
Kumbuka, wewe na mume wako pekee nd'o mlisimama mbele ya madhabahu na kula kiapo cha ndoa, hivyo acha kupigana na mtu wa nje ambaye hakuwepo wakati mnakula kiapo.
Hivi, utapigana na wanawake wangapi kabla hujagundua kuwa Mume wako ndio haheshimu Kiapo mlichoapa?.
Haijazoeleka, lakini Muda mwingine ukweli ni vizuri usemwe, dili na Mume wako.
Share
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz