Sababu 5 Zinazosababisha U-ume Kuwa Mdogo (Kibamia)...Soma Hapa Kidume Ufahamu - EDUSPORTSTZ

Latest

Sababu 5 Zinazosababisha U-ume Kuwa Mdogo (Kibamia)...Soma Hapa Kidume Ufahamu


Image may contain: 2 people
ya Mpenzi wakeKundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uum-e mdogo kupita kawaida...
Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uu-me mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....

Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.

NINI CHANZO CHA U-UME KUWA MDOGO.

1. Kupiga nyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa u-ume na hatimaye u-ume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :

Wanaume wengine wana maumbile madog
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz