NINI CHANZO CHA MWANAMKE KUSALITI? - EDUSPORTSTZ

Latest

NINI CHANZO CHA MWANAMKE KUSALITI?

Image may contain: 1 person, sitting and hat
Kwanza napenda nichukuwe wasaa huu kusema na kila Mwanaume ambaye HITAJI LAKE NI KUISHI NA MKE hakuna mbadala katika ndoa zenu kama sio KUMTHAMINI MWANAMKE💑
Wanaume wengi tunakwama kuwafanya wake zetu kutulia ndani kwa sababu moja;
"ILI MWANAMKE ATULIE NI PAMOJA NA MWANAUME KUUTULIZA MOYO WAKE"
Mwanamke kama hapati AMANI kwenye uhusiano/ndoa aliyopo ni ngumu sana kutulia, Mwanamke AMANI yake inatokana na THAMANI ITOKANAYO NA MWANAUME AMBAYE ATAMUONYESHA KUWA YEYE NI WA TOFAUTI na kinyume cha hapo ni Mwanamke kujitafutia AMANI NJE YA MWANAUME ALIYEMTUMAINIA MAISHANI MWAKE.
Twende mbele turudi nyuma kila bin adam anapenda kuthaminiwa, Wanaume tumekuwa tukilalamikia UTII wa Mwanamke kwetu wakati huo huo sisi tunakuwa hatuwapendi wake zetu kitu ambacho kinawafanya Wanawake kuhisi hawapo mahala salama na kuanza kutafuta MTU ambaye anaweza kumpa UPENDO na hata alikokwenda akikosa kilochompeleka STILL ATAENDELEA KUKITAFUTA mpaka NAFSI yake ipate kutulia ndipo nae ATATULIA.
Mwanaume kutwa unapewa AMANI na mahawala hata ukajisahau kama una MKE ila Mwanamke wako akijaribu kukulalamikia unakuwa mkali KUMBE YEYE MOYO WAKE WA BAISIKEL kwamba lolote alibebe?
Unayopenda kutendewa VIVYO HIVYO WATENDEE WENGINE hiyo ndiyo FALSAFA YA UBIN ADAM💏
Kama huwezi kumtuliza Mkeo Basi ujue Kuna AMBAYE ATAMTULIZA Basi usilalamike sanaaaaaaaa😅😅😅
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz