NI RAHISI SANA MWANAMKE KUPATA MAPENZI AYAPENDAYO KWA MWANAUME TEGEMEZI "marioo" KULIKO KWA MWANAUME MWENYE PESA💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

NI RAHISI SANA MWANAMKE KUPATA MAPENZI AYAPENDAYO KWA MWANAUME TEGEMEZI "marioo" KULIKO KWA MWANAUME MWENYE PESA💯

Kumezuka kundi la Wanawake kuwashawishi wanawake wanaojitambua ili kuamini kwamba;
• NJE YA NDOA KUNA MAPENZI YA KWELI KULIKO MAPENZI YA NDOA
Maana halisi ya MAPENZI NI MTU MWENYEWE NA KUITENGENEZA RADHA UITAKAYO💯
Kwa sasa Wanawake wanajitahidi kuyalinda MAPENZI kwa pesa badala ya uhalisia wenyewe kwamba ili kumshika mtu lazima uwe MBUNIFU kwamba ujue kuukamata mtima wa mwenza wako wala sio kwa mambo ya kusadikika.
Pesa ina THAMANI KWA MAHITAJI na pindi ukitimiza mahitaji NAFSI ITADAI UPENDO na hapo ndipo watu wengi wameangamia na kukosa msimamo kwenye mahusiano na ndoa zao, Suleiman hakuwa mjinga kukosa maana ya starehe ya DUNIA hata kuomba HEKIMA.
Upendo ni utulivu wa NAFSI NA MOYO haya mengine mnajitaabisha tu, Yaani ukanunue MAPENZI ILI USIKIE UTAMU huku mtoa utamu hana UPENDO WA DHATI KWAKO hujioni ulivyo mjinga?
Mwanamke ridhika na uliyemkubari awe Mume na Baba watoto wako💯
Wanaume akiishakuwa anajua UPO KWAKE KWA STAREHE ZAKO KAMWE HATAKUPENDA ila atakuwa nawe kwa sababu zake, Hakuna aliyezaliwa anayajua MAPENZI bali kila mmoja anajifunza hivyo toa elimu elekezi kwa Mumeo ili akupe vile unapendagaaaa😂😂😂
Msiendekeze kuwatumia wanaume wajinga huku na wao kuna mahala wanaonekana hawatoi MAPENZI myatakayo hivyo ni dhahiri WANAWAKE WOTE HAMTOSHEKI NA WAUME ZENU hata mnajifunza kutafuta starehe nje ya ndoa zenu MNAJITAABISHA BURE pengine Jamaa yako ni mtaalamu pia awapo nje yako ila ni wewe kuamini upumbavu wa mashoga😂
Bakia njia kuu huku ukiweka wazi HISIA zako kwa Mwenza wako 👌
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz