NASAHA KWA🌸 MABINTI WALIO NA NDOTO ZAKUINGIA KWA 🌸NDOA*🌸 - EDUSPORTSTZ

Latest

NASAHA KWA🌸 MABINTI WALIO NA NDOTO ZAKUINGIA KWA 🌸NDOA*🌸

Doctor-Love - #Utafiti: HII NDIO TOP 1O YA MIKOA YENYE... | Facebook
🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
*🌹Omba Sana mungu akupe mwenza mwema mwenye kheri na wewe kwani sio kila mwanaume ana sifa yakuwa mume*🌹
*🌹Chagua mume Kwa dini yake na tabia njema sio kwa uzuri au kwa pesa zake kwani pesa haziweze kufanya ukadumu Kwa ndoa*🌹
*🌹Usingie kwa ndoa sababu maisha ni magumu unataka mtu wakukusaidia maisha kwani sio kila mwanamume anajua niwajibu wake kumuhudumia mke*🌹
*🌹Usingie kwa ndoa kwa kuwa wewe ni mzuri kwani ndoa inataji subra na uvumilivu na wala sio sura wala ombo*🌹
*🌹Usipoteze muda wako na masharo baro ambao hawana jipya kwako zaidi yakuribia Future yako tafuta mtu mwenye kujitambua anayejua maana ya ndoa*🌹
*🌹Mwanamume anayekupenda huja kwenu mbele ya wazee wako akakaposa wala usibabishwe na wanaume wa mitandao ambao hawawazi ndoa wanawaza zinaa tu jitambue kwani kupedwa sikuolewa hata tapeli atakwambia ywakupenda*🌹
*🌹Usijaribu kumbebea mwanaume mimba eti kwa sababu unaitaka ndoa , kumbuka ndoa haina fumular na kama mungu amepanga uolewe utaolewa tu ila kufanya hivyo mwanzo ni dhambi na unatia familia yako aibu*🌹
*🌹Usihuzunike kwanini wenzako wenye umri kama wako wameolewa na wewe bado kikubwa omba mungu kwani akisema liwe linakuwa tu Kwa uwezo wake🌹*
*🌹Usijaribu Kudanga na mume wa mtu ukaona unamkomoa mke wake, kumbuka kufanya hivyo unajikomoa mwenyewe muhimu mwambie kama anakupenda akuoe kama mke wake*🌹
*🌹Kama upo nyumbani tu nausubiri ndoa hibu jaribu kufungua biashara yoyote hata kuuza mandazi hapo nje kuliko kusubiri kupiwa hela nawanaume kwani lazima utatumiwa hawaezi kukupatia bure*🌹
*🌹Tahadhari na marafiki wabaya wenye mienendo ambayo inaweza pelekea kukuribia maisha yako kumbuka mtu huiga tabia za rafiki yake kuwa makini sana rafiki unayemchagua*🌹
*🌹Usichague sana mpaka ukajikuta unawacha vigezo muhimu alivyosema mtume kumbuka mume anachaguliwa na dini yake tu na tabia njema mingine ni ziada na usisahau umri unaenda mbele haurudi nyuma*🌹
*🌹Wachana na hizi kauli eti huamini mwanamume yoyote labda babako mzazi , kumbuka wanaume wema wapo na kama ulitapelewa na mmoja wema wako kikubwa muweke mola mbele kwa kila kitu🌹*
*🌹Mwisho kama una mchumba na muhaidiana ndoa mwambie afanye haraka kuikamilisha hiyo nusu ya dini na msipende kukaa faragha Sana Kwani mtume ywasema watatu wao ni shetani na mara nyingi comuniction baina yawachumba huwa hawafikii ndoa manake munasomana mpaka mmoja anauvunja uchumba kabla ya ndoa kutokamana na udhaifu aliyeuona*🌹
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
*🌹UKIYAPENDA YAFANYIE KAZI*🌹
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz