NAMNA YA KUWA NA KYUMA MNATO WAKATI WA TENDO LA NDOA NA KUMPA MAUTAMU MUMEO - EDUSPORTSTZ

Latest

NAMNA YA KUWA NA KYUMA MNATO WAKATI WA TENDO LA NDOA NA KUMPA MAUTAMU MUMEO

Endiketa" ni Msamiati lakini maana yake ni
kubana,kuvuta na kuachia uu-me kwa kutumia
misuli ya u-ke. Mtindo huu wa ufanyaji TENDO LANDOA
humpa mumeo raha ya ajabu ambayo mara
nyingi itamfanya akushikilie kwa nguvu au abaki
anaguna-guna tu (jaribu kumsemesha kisha
sikilizia sauti yake hehehehe sauti itakuwa
haitoki vema kwa utamu)....Endiketa ukiipatia ni
mwisho wa matatizo.
Kubana huku au niseme ubanaji wa Uu-me kwa
kutumia misuli ya u-ke kuko tofauti
inategemeana na mtu mwenyewe vilevile
"timing" yako kwani unapaswa kujua ni wakati
gani unatakiwa kubana, kamua na "kubanua".
Vilevile kuna baadhi ya wanawake (kwa uzoefu
wangu mwenyewe) kama mumeo amekufanya
vizuri siku hiyo na kukaribia au kufikia mwisho
ukweli utahisi utamu wa hali ya juu
uliochanganyikana na maumivu fulani hivi, sasa memeo kila akiendelea na shughuli utahisi mautamu
akienda juu unamvuta ndani (yeye atahisi hivyo
pia) hii hutokea bila kubana misuli ya uk-e kwa
mtindo ambao kila mtu anaujua au
nitakaouelezea hapa chini.
Kabla sijakwambia inakuwaje wakati unapofanya
mapenzi na mikao yake ambayo itakurahisishia
"kuendiketa" kwa nafasi napenda utambue jinsi
ya kuibana misuli hiyo ya uk-e ambayo inahitaji
mazoezi ambayo yatakusaidia pia kurudisha
maumbile yako kama ilivyokuwa awali
....sawa! Sote tunafahamu jinsi ya kukata/
zuia mkojo usitoke, kule kuzuia ndio kubana
misuli ya uk-e na ukiachia mko-jo utoke ina
maana misuli ya u-ke imeachia pia, sasa hivi
unavyosoma fanya hivyo bila kuwa na mkojo
(yaani hujabanwa mkojo) bana kisha hesabu
mpaka kumi kisha achia rudia tena na tena.
Fanya hivi kila siku, mahali popote ulipo, wakati
wowote......kumbuka kuendelea na zoezi hili kila
unapofanya tendo landowa
Jinsi unavyofanya zoezi hili mara nyingi ndivyo
misuli yako inavyozoeana na ile hali ya kubana
na kuachia inaongezeka na siku moja mumeo
akikuuliza "mbona siku nyingine K inakuwa
mnato sana" ujue umeanza kufuzu.....
namna moja ya kumpa




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz