MWANAUMEEE! FANYA HIVI KUUJUA MOYO WA MWANMKE! - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUMEEE! FANYA HIVI KUUJUA MOYO WA MWANMKE!

Nisome Mwanaume mwenzangu ili upate kujua MOYO WA MWANAMKE:

Image may contain: one or more people, sky, cloud, outdoor and nature
Ukitaka kuujua wema wa MWANAMKE muulize akusimulie Mwanaume mwenzio alivyomtenda lakini Bado anakwambia wewe
"NAKUPA NAFASI ILA USINIUMIZE😭😭"
Na hapo ndo utajiuliza Kwanini wanawake huuliza "HIVI KWELI HUNA MWANAMKE?" Kwa uhalisia mwanamke hapendi kushare penzi maana wao wanapenda KUFURAHIA UWEPO WA MWANAUME kwenye maisha yake, Na ukiona Mwanamke anakukubari uwe nae na Una mwanamke mwingine JIONGEZE UNATUMIKA KAMA KOROSHO KUPOZA NJAA😅 ila anae ambaye anampenda pengine wewe ni ATM...
Ukimtafakari sana Mwanamke huwezi kumpatia majibu sahihi, Kama Mwanamke angekuwa na moyo kama wa Mwanaume wallah MUNGU ANGEISHAFUNGA SWALA LA MAPENZI LISITUMIKE TENA😂
Mwanaume akiumizwa na Mwanamke mmoja weeeee😳
Hao wanawake wanakuja mbele yake watajutia, Maana yake itakuwa ni KULIPIZA MAUMIVU ALOUMIZWA NA MWINGINE kitu ambacho sio kizuri kabisaaa, Mwanamke kwa uhalisia amebeba UPENDO WA KWELI NDANI YAKE ndo maana anapokuwa ameumizwa analia na kuomba MUNGU amvushe katika pito lake ili ainuke aendelee mbele, Na hata anapokuwa ameamua kuanzisha mahusiano MAPYA kwa uhalisia Mwanamke husahau alikotoka na kuangalia alipo ili KUUTETEA MOYO WAKE ðŸ™†ðŸ¿‍♂
Kila Mwanamke chini ya JUA hili anayo shauku moja tu
"KUMPATA MWANAUME AMBAYE ATAUJENGA MOYO WAKE KUWA NA FURAHA NA AMANI"
Chini ya JUA hili wanawake waliokosea njia ya ki MAPENZI wakakutana na wanaume wenye tabia ya "PAKA MAPEPE" wameishi au wanaishi kwa mahangaiko yenye uchungu mwingi kiasi kwamba MIOYO YAO IMEJERUHIKA na kuwa wenye msongo mwingi wa mawazo "STRESS" na wasijue hatma ya kupotea njia kule😭
EWE MWANAUME:
Mwanamke ni bin adam anao moyo USIMTENDEE YATAKAYO UMIZA MOYO WAKE kama ambavyo usivyopenda kuumizwa wewe🙋
#Elista_kasema_ila_Sio_Sheria🤣
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz