💞💞 *MWANAUME HIVI UNAJUA FURAHA YA MWANAMKE IKOJE*💞💞 - EDUSPORTSTZ

Latest

💞💞 *MWANAUME HIVI UNAJUA FURAHA YA MWANAMKE IKOJE*💞💞

Irene Uwoya | Actress Profile, Photos, Movies | Celeb Cloud
💞💞 *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anayemsikiliza*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume mwenye utayari wa kubadilishana nae mawazo.*💞💞
💞💞 *Furaha ya Mwanamke ni kupata Mwanaume ambaye watataniana naye*💞💞
*Furaha ya Mwanamke ni kupata Mwanamume ambaye anamthamini na kumjali*💞💞
💞💞 *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anayemfanya ajisikie yeye ni mwanamke wa pekee*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anaye msifia na kuunadi uzuri wake*💞💞
💞💞 *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume anaye mtosheleza na kumridhisha katika tendo la ndoa*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume ambaye wana nia moja ya kujenga familia*💞💞
💞💞 *Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume mkweli na muaminifu*
*Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume mwenye kujishusha na kusamehe.*💞💞
*💞💞Furaha ya mwanamke ni kupata mwanaume baba wa familia na mwenye msimamo thabiti katika maamuzi*
*kama yapo yoote hayaa baasi ndoa hiyo itakua na amani kama ya.........*💞💞
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz