MWANAMKE USIYASHINDANISHE MAPENZI KWA SABABU MAPENZI NI SEHEMU YA HISIA ZAKO💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAMKE USIYASHINDANISHE MAPENZI KWA SABABU MAPENZI NI SEHEMU YA HISIA ZAKO💯

Romantic couple dancing and smiling outside in the garden Stock Photo - 31031937
Nielewe Mwanamke;
• Kila unapojaribu kuyaweka sawa MAHUSIANO yako usijaribu kutafuta uwiano wa Mwanaume na Mwanaume
Mwanamke kila unapotaka kutafuta ulinganifu wa MWANAUME tayari unakuwa umetumika ki ngono, Maana hutaweza kujua tofauti ya JUMA NA PETER kwa kuongea ama kufuatilia nyendo zao ila utawajibika kuyaingia MAPENZI ili kujua ni yupi ndiye MSHINDI WA HISIA ZAKO wakati huo huo ipo tofauti kati ya UPENDO NA HISIA ZAKO 💯
Pengine Mwanaume wa HISIA zako ushamjua huku UMPENDAYE yupo ila hakika ya kwamba ni yupi ANAKUPENDA ndo ITAKUGHARIMU 😎
Mara nyingi wanawake ndo chanzo cha kuyachukia MAPENZI kwa sababu ya kuwa na Wanaume wawili na wengine mnao wanaume watatu kila mmoja na maana yake kwako ila wote wanabebwa na MAPENZI 😂
Hutaweza kushindanisha wanaume juu ya HISIA zako mwenyewe kwani ni FUMBO LA MWILI WAKO huku MOYO nao unakinzana na HISIA ZAKO 😂😂
Waswahili na misemo yao;
• USIUZIWE MBUZI KWENYE GUNIA 👙
Yaani wanawake wa sasa kuliko apate FUTURE HUSBAND yupo tayari kuhangaika kutafuta MKUNAJI MZURI huku akisahau jambo muhimu ya kwamba;
• MAPENZI USICHANANI ILA UKISHAITWA MAMA NDIPO UTAMJUA MWANAUME SAHIHI KWAKO😂😂😂
Maana MWANAMKE kama hajawa na Mtoto/Watoto hawezi kujivunia UPENDO WA MWANAUME 
Mwanaume ili awe na UPENDO KWA MWANAMKE ni pale usichana wa Mwanamke unapotoweka na kuwa MAMA kwani kila kilichokuwa BORA USICHANANI hubadilika na kuwa KILICHOTUMIKA na hapo ndipo utakuwa na hakika ya UPENDO WA MWANAUME ikiwa atasimama na ahadi yake kwamba ATAKUPENDA NYAKATI ZOTE.
Kuna aina ya Wanaume wanapenda MATITI MADOGO hao utakabiliana nao vipi ikiwa usichana unakimbia?
Mwanamke tafuta ujasili kukabiliana na HISIA zako kwani MWANAUME hataacha kukulala kwa sababu maumbile yako ni HITAJI MUHIMU KWAKE.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz