Muheshimu na mpende ila Usiteseke kisa yeye - EDUSPORTSTZ

Latest

Muheshimu na mpende ila Usiteseke kisa yeye


Kwa kuwa una jitambua uzur wako bas i.nakuwa ni kama siraha kuwapanga wanaume folen.una lewa na sifa za uzur mpaka nawe unazidisha dharau kuwa unataka mwanaume mwenye
Kazi nzuri
Pesa,msomi au mfanya biashara
Kwanza wewe una kaz gan ??
kwa mwezi una ingiza shilingi ngap??
kwan MAMA AKO aliyakuta magar kwa BABA yako au walitafuta pamoja??
ni ujanja gan ikiwa BOY wako ana kupeleka geto ya marafik zake ?
ujanja gani BOY wako kila siku ana omba umtumie pesa ?? ujanja gan ana hongwa na MI MAMA Kisha nae ana kuletea???
GIRLS huu sio mda wa kuishi maisha ya kuigiza bali malengo yawe mbele... zunguka.mitaan ni WANAWAKE wangapi ambao wazur kuku zidi wewe ila leo wapo magengen kuuza mboga mboga na maandaz??
hata wao walijisahau.kama wewe matokeo yake walijikuta wanaishia kudhararirika na kuzalishwa kisha kuachwa....
.ko jifunze kupitia wengine...UZURI huja.kama msimu kuna wakat utakosa soko pamoja na uzuri ulio nao...
Nasi .WANAUME kuna.wakat ni kama tuna weka rikizo akili zetu maana.ana.weza muacha binti mzuri kwa kila kitu had tabia ila anaenda kuoa mtu wa kawaida sana huku ww una lea mimba au ume achishwa shule
DADA umeumizwa na mapenz
Umezalishwa na hupat huduma
Usikate tamaa na jitunze wewe na mwanao..yupo.mwanaume atakae kupenda wewe na mwanao
MWANAMKE BORA ata endelea.kuwa.bora.hata.kama.kazaa na kuachwa
na muhun hawez acha hata aolewe na tajiri mkubwa
Huenda ni wanaume wengi.uli waacha kwa madai si TYPE yako uka wafuata unao wataka
leo.ulio wakataa wana wake na watoto na NDOA zao zina.aman ila w w usha achika au bado una lia na kuwaza BORA NINGE ENDELEA NA.YULE...
KWA BOYS
USIMDHARAU MWANAMKE KISA AMEDHARISHWA BILA KUOLEWA
HIYO NI ISHARA YA UJASIRI NA MSIMAMO MAANA ASINGE WEZA ENDELEA.VUMILIA UJINGA WA MTU ETI KISA AMEZAA NAE......
BOY KUMZALISHA MWANAMKE NA KUMUACHA HUJA MKOMOA IPO SIKU UTA MLILIA AKIWA AMEFANIKIWA AU AMETULIA KTK NDOA YAKE.WAKAT HUO.NAWE UNATAKA KUOA.UNAISHIA KUPATA WAPENDA.PESA NA.STAREHE
boys tusi watukane GIRLS au kuwachukia.GIRLS pindi wanapo tuacha au kutu kataa bali.tuombe uzima kila mtu ajue hatima ya mwenzake...
.UPENDO WA DHATI HAUNA
Umbali
mwonekano wa mtu
mali za mtu
BALI UPO KTK
Busara
uelewa
uvumilivu
mawasiliano na kuku mbukana
Mpende aliye amua kukupenda
Muache alie ona hufai kwake
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz