MAMBO YANAYOWEZA KUIKWAMISHA NDOTO YAKO. - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO YANAYOWEZA KUIKWAMISHA NDOTO YAKO.

Image result for NDOA SIO UTANI, SOMA STORY HII.
1. Kutokujiwekea malengo,
2. Kutokujali muda,
3. Kukosa ujasiri,
4. Tabia ya kuahirishaahirisha "procrastination",
5. Kukwamishwa na historia yako au hali ya maisha ya awali,
6. Kutokudhibiti kinywa chako,
7. Kusikiliza na kufuata ya marafiki kuliko kujisimamia "seeking for approval".
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz