MAMBO 10 USIYOYAFAHAMU KUHUSU KUWA MPENZI WA KIKE AMBAE NI KIBONGE - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO 10 USIYOYAFAHAMU KUHUSU KUWA MPENZI WA KIKE AMBAE NI KIBONGE

Image may contain: 1 person, standing and outdoor

Kwa mtu ambae ameshawi kuwa na demu bonge ambae atakuwa ameshagundua wanawake wa aina hii kitabia na kimaisha wako vipi....kumbuka si wote wako hivi ila asilimia kubwa wana tabia hizi

1.Wana mapenzi dhati asikwambie mtu huwa wana mapenzi ya kweli sana.....

2.Akiwa na mchumba wake yuko radhi afanye chochote ili mpenzi wake aridhike tuu asije akakasirika.....

3.Akimpata mwanaume hayupo tayali kumwachia aondoke kwa gharama yoyote yupo tayali kumgalamia mwanaume chochote kile ili imradi awe na wewe...

4.Kama unaishi nae getto huwa ni mchapa kazi sana hasa kwenye kukufulia nguo zako,kukupikia,kukunyooshe
a nguo kwa kifupi huwa hawana tabia za uvivuu

5.Kama alikuwa amesoma basi yupo tayali hata wewe akusomeshee

6.Ikitokea ukamuacha au haumtaki katika mapenzi huwa wanapataga sana presha ya kupanda na kushuka...hasa kama alikupenda

7. Wengi wao huwa na adabu nidhamu wanapokuwa na wewe na hupenda sana kukusikiliza wewe utakacho ili mradi roho yake ilidhike.....

8.Husemekana wengi wao hupenda sana kufanya mazoezi ili wanaonekane vimodoo

9.Hupenda sana kukutambulisha kwa marafiki zake,ndugu zake wa karibu kama mpenzi.....

10.Huwa wana wivu sana inapotokea unaongea mwanamke au kidemu....

NB: Sio wanene wote wote lakini, na sijasema wembamba hawana upendo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz