KINACHOWATESA WANAUME WENGI NI KWAMBA HAWAJUI JAMBO HILI KUHUSU WANAWAKE - EDUSPORTSTZ

Latest

KINACHOWATESA WANAUME WENGI NI KWAMBA HAWAJUI JAMBO HILI KUHUSU WANAWAKE

Image may contain: 2 people, wedding and outdoor

Kinachowatesa wanaume ni kwamba HAWAJUI MWANAMKE NI JINSIA na kila Mwanamke yuko na siri moja aliyojaaliwa na Mwenyezi MUNGU nayo ni "UPENDO"
Ukitaka kujua kwamba Mwanamke ndiye Mwenye UPENDO mtazame Mwanaume anavyoweza kuhangaika kubadili wanawake huku akimuacha Mkewe akiwa ameshika IMANI... Mungu wakati akimuumba Mwanamke aliweza kuweka tofauti kubwa kwa maumbile ya Mwili wa Mwanamke, Na hapo ndipo utagunduwa MACHO YA WANAUME HUZUNGURUKA KAMA FENI mwisho hukosa pa kusimamia, Mwanamke anaweza kukosa SHAPE lakini UPENDO NI KARAMA YAKE! Mwanamke anaishi kwa mapokeo ya UPENDO na kila Mwanaume angeweza kumpa UPENDO mwanamke wake niamini HAKUNA MWANAMKE ANGEPENDA KUMUACHA MWANAUME WAKE ALIYEMFUNDISHA KUJUWA ALPHABET ZA MAPENZI...
 Mwalimu mzuri wa Mwanamke ni MUME BORA lakini ukitaka uwe BORA MUME KWA KUVAA VIZURI AMA KUVIMBISHA KIFUA bora tukufunge jembe la ng'ombe ukalimishe mashamba, Kuliko kutunisha msuri kwa kiumbe ambacho husikia starehe ya ajabu na kulia kwa Mahaba pindi tu unapoweza kukifikisha kileleni, Kilio cha kila Mwanamke sio kupata MWANAUME bali kilio chao ni kumpata MUME! Unapoongelea MUME maana yake ni mtu ambaye anajua wajibu wake kwa mkewe, Mwanaume ni MTUMIAJI WA MWILI WA MWANAMKE huyo ndo wasomtaka, 
Ukitaka upewe heshima na Mwanamke simama kama MUME Ila ukiona michosho baki na uanaume wako uone watoto wakike walivyo pasua kichwa, Mmebaki na lawama kwa wanawake ooooh siku hizi wanawake wanapenda hela kuliko Mapenzi, Yaani apende mapenzi na huwezi kumpa hayo mapenzi? Mapenzi sio sex ngw'ana wanhe MAPENZI NI LUGHA TAMU ZA MAHABA... Unadhani ni kwanini Mwanamke yupo tayari kukosa maisha mazuri ila ampate MWANAUME BORA? Wanawake wanataka ULINZI WA MIOYO YAO kuliko hata sex, Usiponielewa shauli yako ila ndo nshakwambia.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz