Kinachouma baada ya MAPENZI kuisha ni hiki; KUONDOKWA NA MTU AMBAYE BADO UNAMPENDA - EDUSPORTSTZ

Latest

Kinachouma baada ya MAPENZI kuisha ni hiki; KUONDOKWA NA MTU AMBAYE BADO UNAMPENDA


Image may contain: 1 person, smiling, indoor
Maisha yoyote yale tunafundishwa KUWA NAVYO NA KUVIKOSA lakini asikwambie Mtu juu ya kumkosa UMPENDAYE inauma sana lakini haitoshi huwezi kuwa SALAMA MOYONI🚫
Kwenye MAHUSIANO/NDOA ikiwa mmetawaliwa na MIGOGORO isokwisha mara nyingi UPENDO hufubaa na kuleta TASWIRA ya kukata tamaa ya kuendelea na umoja wenu.
Kelele, maudhi, Matusi pamoja na vita vinavyofanana na hivyo kwa hakika HUTOWESHA MATUMAINI na ndo maana watu wa aina hiyo hata wakifika mahala wakasema ENOUGH IS ENOUGH ni rahisi sana kuachana na wala wasione gharama ya kuachana kwao.
Iko MIGOGORO inayosababishwa na sintofahamu kwenye MAHUSIANO hiyo ikirekebishika ni rahisi mno UPENDO KUREJEA KWENYE HALI YAKE YA WAKATI WAWILI HAO WANAKUTANA
Penzi la DHATI halikimbiwi hata siku moja zaidi ni KUJIPA STRESS BURE na mwenye kuutuliza MTIMA WAKO UNAMJUA.
Kiburi cha kujidaia kazi, kipato, nafasi ama familia unayotoka hayo ni Sawa na MAUA YA KONDENI TU hustawi na kunyauka, Usicheze na HITAJI LA NAFSI usije sema sikukwambia, Ukimpoteza mwenye Mamlaka na NAFSI yako kwa kujigamba ATAKUJA MWINGINE bibi nakuambia wazi UTAMPEKENYUA MPAKA KWENYE KIUNO CHAKO WALA USIMUONE.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz