KAMA ANAKUPENDA KWELI HATAKUOMBA PICHA ZA UCHI HAHITAJI PICHA KUKUPENDA! - EDUSPORTSTZ

Latest

KAMA ANAKUPENDA KWELI HATAKUOMBA PICHA ZA UCHI HAHITAJI PICHA KUKUPENDA!

Image result for MUULIZE UNATAKA KUNIOA MIMI AU UNATAKA KUOA MTOTO?
Akina dada wana upumbavu flani anakutumia picha za uchi halafu anakuambia kua ukimaliza kuangalia zifute. Kwanza nikuambie tu ukishatuma picha kwenye mitandao haifutiki tena. Lakini nikuambie kingine hata kama mtu hajui IT lakini nirahisi kupata picha.
Wanaume wengi na watu wengi wakiambiwa futa picha basi hufuta meseji na si picha. Ukiingia kwenye Gallary wala bila kujua IT unakuta picha zote zile, kama huamini hembu jaribu kufuta picha kisha uone itakuaje.
Lakini pia kuna ile sehemu umeweka email yako, na kusema kuwe na backup. Kwamba kila picha na meseji unayotumiwa inaingia kwenye email yako hivyo hata ukifuta kwenye simu na kwenye Gallary ni kazi bure kwenye GOOGLE IPO.
Sasa mtu akiwa na passwed tu anaweza ifungua na kuzipata, sasa jamaa anaweza kukuambia kua mke wangu haangalii meseji zangu, ukamuamini ukafikiri huyo mwanamke ni mijinga kiasi hicho asiangalie.
Anaangalia, anachungulia na ana paswed zote hivyo kabla ya kutuma picha tena unatumia mume wa mtu ambaye mkewe anateseka analia kila siku waza je zikisambaa utapata faida gani? Mume ataomba msamaha atasamehewa lakini wewe/
NIMAMALIZA hambu share maana kuna wanawake wapumbavu wengi tu ambao bado wanamaini kumtumia mwanaume picha za uchi ni kumteka wakati akigoogle tu anakutana na vitu vimeeditiwa kabisa.
Hata kama si mume wa mtu ni boyfriend unajuaje kua hana mchepuko au njia kuu ikaona na ikazichukua na mihasira yake ikasambaza. Amka acha kutengeneza sumu ambayo unaweza kuiepuka, kama hujaweza kumteka kitadai huwezi kumteka kwenye simu.
*****#SHARE
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz