JINSI HISIA ZA MAPENZI ZINAVYOPOTEA GHAFLA KWENYE MAHUSIANO. - EDUSPORTSTZ

Latest

JINSI HISIA ZA MAPENZI ZINAVYOPOTEA GHAFLA KWENYE MAHUSIANO.

Wakati Mali bila daftar hupotea bila taarifa.. Hata hisia kwenye mahusiano zisizo na ulinz hupotea bila taarifa.... Hivi hujawahi ona watu wanaachana hata bila kuambiana na Muda mwingine hata asiwepo wa kuumia!! CHUKUA HII kuna Muda unapobadilika na kumpa maumivu mpnz wako una mbadilisha tabia taratibu bila ww Muda mwingine hata yeye bila kujua kuwa anabadilika.. Kadri maumivu yanavyoongezeka taratibu Ule uzito aliokuwa anakupa unaanza kupungua na kutohisi maumivu yoyote juu yako hata ufanyaje haisi kujali wala kuumia hapo ndipo HISIA juu yako huwa zimekufa na kuzikwa kabisaaa.... Na hii Mara nyingi hutokea kwa watu waliopenda sana huyu mtu wa aina hii hata kama umemuoa au kakuoa ataishi na ww sababu ni ndoa lakini msisimko wa mapenzi na hisia vinakuwa vimekufa kabisa na kama ni mahusiano jua kama alikuwa anakubembeleza muonane au kama alikuwa anakupigia sana simu jua utazisikia kwenye bomba ... Jua tu hisia huzaliwa pale unapoonyesha vitendo vya kujali na hufa pale unapoacha kufanya yale ambayo yalimfanya akupende.. #kibonde
Counsellor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz