Huwezi kumaliza upweke wa MAPENZI kwa kuwa mkimbizi kwenye MAPENZI⛔ - EDUSPORTSTZ

Latest

Huwezi kumaliza upweke wa MAPENZI kwa kuwa mkimbizi kwenye MAPENZI⛔

Image may contain: 3 people, people sitting and close-up
Ni nani aliyewahi kuyashinda MATESO YA MAPENZI KWA KUYADANGANYA MAPENZI🤷🏽‍♂ Maana tatizo sio kuyafubaza mapenzi bali tatizo ni KUTOTATUA CHANZO CHA TATIZO LINALOKUKABILI! Huwezi kupata ufumbuzi katika UNAYOPITIA KWENYE MAPENZI ikiwa wewe mwenyewe hutaki kukubari kwamba UKO KWENYE MATESO🙆🏿‍♂ Kinachoua juhudi za UKOMBOZI KWENYE MAPENZI ni KUONA MABADILIKO YA YALE YAKUUMIZAYO ukidhani kwamba mwarobaini wa tatizo lenu limepata MUUJIZA
Rafiki yangu TABIA NI KAMA NGOZI huwezi kuibadili ikawa na ubora wa uhalisia wa rangi uitakayo, Uonapo mambo hayakwenda vizuri kama ulivyotarajia JICHUNGUZE pengine ni wewe unamsababisha mwenza wako awe mjinga ama ni yeye na ujinga wake, Huwezi kuubadili UPEPO WA KIANGAZI UVUME KIPINDI CHA MASIKA🌪 Mapenzi hayalazimishwagi bali yanajengwa, Fikiria zaidi AMANI kuliko hata FURAHA maana usipoipa AMANI NAFSI YAKO kamwe hutokaa uione FURAHA
Maana FURAHA NA AMANI ni pacha wasiofanana.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz