HESHIMU SANA ZILE DALILI MBAYA ZA MAHUSIANO YAKO NA UFANYE MAAMUZI MAANA ZINAWEZA ZIKAKULIZA MILELE. - EDUSPORTSTZ

Latest

HESHIMU SANA ZILE DALILI MBAYA ZA MAHUSIANO YAKO NA UFANYE MAAMUZI MAANA ZINAWEZA ZIKAKULIZA MILELE.

Nimeona na kushuhudia WANAWAKE wazuri wasio na makuu ambao waliolewa na wanaume ambao waliwaumiza kihisia, kiuchumi na kuwamiliza kabisa kiroho. Nimeshuhudia WANAUME ambao walikuwa na maisha mazuri, uchumi uko poa, wakamalizwa kila kitu kwa kuwa na mahusiano na wanawake wasio sahihi. Ni mwaka 2020, na Shetani bado anatumia watu wale wale na hana mbadala wa kumtumia katika kuwaharibu na kuwamaliza wale wenye Kesho yao iliyo njema...kuwa makini, sio kila anaetamka ANAKUPENDA anamaanisha. Heshimu sana Dalili mbaya unazoziona. Kuwa na hekima ya Mungu na busara kuwatambua. #SeeYouAtTheTop - Tweve




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz