AMERUDI ANASEMA NIMSAMEHE KWANI HAJAMUONA WA KULINGANA NAMI🤦🏾‍♂ - EDUSPORTSTZ

Latest

AMERUDI ANASEMA NIMSAMEHE KWANI HAJAMUONA WA KULINGANA NAMI🤦🏾‍♂

young afro american couple having an argument in bedroom Stock Photo - 21512926
Kwanza nicheke kisukuma😂😂 Sikujua kama angerudi na kusema hayo🙆🏿‍♂ Alipokuwa anaondoka aliapa viapo vyote na kutamka wazi MIMI SI KITU WALA SIMTISHI KWA LOLOTE... Ndivyo walivyo watu ambao hawajui nini hitaji lao kwenye MAPENZI! Ni rahisi kuyajenga mapenzi japo kwa taabu ila tu mkiwa bado hamjatengana💑 Aliishakuwa na wake nawe ukapata wako lakini MIOYO YENU INAHITAJIANA je unajua kwamba Mapenzi yakiisha ingiliwa MAWAZO YA USALITI AUTOMATICALLY HUKOSA RADHA... Unaweza kumpa nafasi nyingine akawa mzuri kuliko mwanzo lakini je MOYO WAKO UMEKUBALIANA NA KUSHARE PENZI? Alikuacha akaenda kwingine na sasa anataka kurudi UNA HAKIKA GANI KULE ATAONDOKA JUMLA🤷🏽‍♂ Tabia ya kubadilika badilika ni maumbile ya KINYONGA🦎 je unaamini bin adam asiye na msimamo huitwa KIGEUGEU? Amua mwenyewe but usitegemee kufurahia penzi la mtu huyo kwani ASIYE NA MSIMAMO WALA HAJUI UMUHIMU WAKO😳
Kwa maana hiyo mpaka anakuondoka aliishakukinai ALIACHA NINI ANATAKA KURUDIA? Bin adam Bwana ni shida YAANI USHINDWE KUFURAHIA CHAKULA HAKIJALALA HALAFU KESHO UKITAMANI KILICHOLALA TENA CHA KUPASHA KWENYE MICROWAVE🤷🏽‍♂ hiyo itakuwa njaa tu,
Ishi maisha yanayokupendeza kuliko kufuata kinachompendeza mwingine, Utumwa wa MAPENZI hauna ukombozi wa maandamano ama vita bali ni FIKRA PEVU NA MAAMUZI SAHIHI💪🏽 Pigania furaha yako kuliko kungojea mtu akufurahishe.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🥁
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz